Home
Unlabelled
tanzia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sisi wote na wa mungu na kwake tutarejea, mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
ReplyDeleteKwa wafiwa poleni ndio kazi ya mungu
RIP Ali Moshi You will be missed
ReplyDeleteHUYU JAMAA WA KULIA(NADHANI ROMANO) HII JEZI ALIYOIVAA ANAJUA MAANA YAKE?
ReplyDeleteHII NI JEZI YA WASHINGTON REDSKINS(FOOTBALL TEAM YA KIMAREKANI,SIO SOKA.)
jamani, jamani ,mbona wanamuziki wa msondo wanapukutika hivi?kunani?
ReplyDeletepamoja na hayo niseme tu kuwa bwana ametoa bwana ametwaa,RIP.
Michuzi, ukijisikia vibaya minyia hii comment. Mie ni mpenzi wa msondo ingawa ni kijana mdogo sana (miziki hii huwa ya watu wazima). Nilinunua album yao "Hapa piga ua, Talaka utatoa" na hii ya karibuni "AJALI". Hii ya mwisho ni maalum kwa ajili ya marehemu TX Moshi William, aliutunga wimbo "ajali" kimakini sana. Nyimbo zake hii albam ya pili zimekaa kimajonzi na zimetungwa huku ukijua fika kuwa ni watu (au mtu)wanaoona mwisho wao. Kuna wakati wanasema Mungu awaondolee balaa hili, na wanataja hadharani "maradhi yamewafata fata". Ukilinganisha kwa haraka haraka hizi albam mbili, moja kwa moja unamkosa mtu aliyekuwepo albam ya kwanza. Then, unamuona TX Moshi anaimba akiwa hawezi kucheza, nadhani sababu ya ile ajali yake, iliyomdhoofisha, na aliyoitungia wimbo huo ajali. Then, unaona walivyoteteleka. Nasikiliza sana hii albamu ya "ajali" na inanifanya nitende mema maana mwisho wetu sote u karibu. Hongera Msondo kwa kuliona hili na kuingiza vijana chipukizi katika bendi yenu. Mola alaze mahala pema peponi roho za marehemu wote wa Msondo, na pia ndugu na jamaa yote ya hapa duniani, waliotutangulia. Sie tunafuata.
ReplyDeleteSikuupata wimbo wa AJALI kwa youtube ulio albam mpya, lakini nimepata huu, bofya NIMEBADILIKA NINI angalia na albam zao za zamani
MTANIKUMBUKA na KAZA MOYO
Jamani Msondo kuna nini jamani,mbona watu wanaisha tuu kulikoni michuzi,tupe nyepesi plse thea!!!
ReplyDeleteWe anoy hapo juu. kwani akivaa jersey ya football ni vibaya? Au kwa vile ni redskin? Yey amevaa nguo yake alikwambia ni jersey ya Soka? Wabongo bwana. Kwani zilitengezwa hizo nguo ili iweje?
ReplyDeletehpa ni habari ya mtu kafariki mambo ya kuchangua nguo za watu tafuta sehemu nyingine
Rest in peace. Ali Mosha My deep condolences to the family and friends.
Anon wa June 2, 2007 5:25:00 AM EAT
ReplyDeleteWewe ndio unaonekana ni Mpumbavu na Mbumbumbu kabisa, Wewe unajuaje huyo jamaa hajui hiyo Jersey ni ya Washington Redskins. Watu wengine jamani nendeni shule kidogo muwe na Cognitive Thinking ability. Yaani inatia kinyaa vitu mnavyoandika hapa ndani. Au ndio ulitaka kuonekana unajua timu ya Washington Redskins. Nyambaaaaffff.
Hivi watu hawawezi kuvaa jezi ya football Tanzania?
ReplyDeleteAnoy hapo juu unajifanya sana. Au unataka tujue kuwa unajua hiyo redskins team?
Wewe ina kuhusu nini kama amevaa soccer jersey au football jersey?
Kama umemaliza shift ya mabox nenda kapige shift ya tako utuondolee bugudha.
Acha ushabiki wa kijinga. Idiot
R.IP Ali Moshi
ReplyDelete