wadau, sasa hivi nimeletewa waraka toka makunduchi juu ya kilaji amarula. nawasilisha...


Bwana Michuzi,


Kwa kweli blogi yako inaangaliwa na watu wengi hata sisi huku Makunduchi,Wilaya ya Kusini Unguja. Kwa maana hiyo lile tangazo lako la kusisitiza wapenzi wako wasitumie matusini vyema tukalitekeleza kwa vitendo. Katika habari zako kuhusu kinywaji kutoka Sauzi umetumia neno la matusi kwa sisi Wamakunduchi. Umetumia neno'tembo" ambalo ni matusi makubwa kwetu. Tunakuomba sisi wapenzi wako waMakunduchi utumie neno "ndovu" badala ya neno hilo. Kwa maelezo zaidi kuhusumaana ya neno hilo muulize Mhe. Abdisalam Issa Khatib ambaye naamini unakutana naye hapo Dodoma kwenye vikao vya bunge.


Nakutakia kazi njema na tunategemea mashirikiano makubwa kutoka kwako. Msisitizo wako wa kuacha matusi ni wa maana na tunaahidi kuutekeleza kwavitendo

MUOMBWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2007

    wewe muombwa ulietoa ombi au pendekezo hamnaazo kabisa..nana waweza kuwa pimbi,sbb kama kwenu makundu-uchi tembo ni matusi mbona huku kwetu jina la kijiji chenu ni tusi kubwa tu,tena saaaana nikiwa na maana TUZI.so chambua na tafakari kabla ya kusema mbwiga we..
    samahani bro michu, huyu jamaa kantia gazabu! kulaleeki

    ReplyDelete
  2. hahah, inafurahisha sana, hasa kuhusu lugha na tamaduni duniani. Hivi mdau wa makunduchi anajua kwetu Kigamboni neno makunduchi ni tusi pia? Ashakhum si matusi naomba nilitamke kikwetu: MAKUNDU-UCHI

    samahani wadau, ila lugha na tamaduni duniani zinavutia. Ahsante mdau kwa kutufahamisha na kuwakumbusha walevi kwamba Ndovu si bia tu bali ni jina la mnyama, nahisi wengine walikuwa hawalijui hilo.

    kuna tamaduni na desturi zingine huwa kilio kwa wengine wakati kwa wengine ni sherehe, hahah. Mfano Kuwasha mishumaa mingi kwa Waswedish ni furaha na desturi ya kufanywa kila wakati wa kula,na sherehe lakini kwa Wataliano ni ishara ya msiba. haha. vivyo hivyo kwa kuvaa nguo fupi na kuacha matiti wazi!!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 19, 2007

    Katika mojawapo ya lugha ninayotumia, neno 'vitu' linamaanisha utupu wa mwanamke! Nilipokuwa nasoma Secondary School, kulikuwa na jamaa jina lake la pili lilikuwa 'Mboro'na yeye alikuwa Mchaga! Naomba mdau wa Pemba aelewe kuwa maneno mengi tu yana maana nyingine katika jamii tofauti, na alielewe neno hilo lililoandikwa katika habari husika, kwa mantiki mwandishi aliyokusudia.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 19, 2007

    MUOMBWA Najitokeza kupinga kauli yako kwamba nyie mlio Makunduchi mmetukanwa na neno TEMBO eti ni matusi huko kwenu.
    Ningekushauri kwanza kabla ya kutoa hoja yako ungeuliza MICHUZI ni mzaliwa wa wapi, anaishi wapi, amesoma mji gani na neno TEMBO kwake kama lina madhara yoyote yale.
    Katika lugha fasaha ya kiswahili, TEMBO ni mnyama na NDOVU ni pembe yake. Lakini neno hilo hilo la TEMBO linatumika kama kilevi na NDOVU ni aina mojawapo ya kilevi ambayo maarufu sana kwa TUSKER (kizungu).
    Kama wewe unadai TEMBO ni MATUSI huko kwenu Makunduchi, WAZAIRE nao watakuja na maneno yao kama vile MAVUZI, TOMBA, KUMA ambayo ni majina halisi wanayotumia kuwapa watototo wao wanapozaliwa.
    Mi sioni tabu juu ya neno TEMBO ingawa kwenye hiyo picha, AMARULA haiwezi kuitwa TEMBO kwa vile haina makali kama yake ya BIA ambayo humpeleka pua mnywaji.
    Neno MAKUNDUCHI laweza kuwa ni matusi kwa wa BARA kwani huenda likatokana na MKUNDU-UCHI baada ya mwarabu kushindwa kutamka kiswahili fasaha alipomuona mmoja wa watumwa wake akiwa ameinama huku akiwa UCHI na kuachia DHANA hadharani!
    BEHAVE YOURSELF mumbwa tafuta hoja ya maana.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 19, 2007

    linalokuwa tusi katika lugha yako, kwa mwenzio sio tusi. Hapa kinazungumzwa Kiswahili sio Kimakunduchi, na katika lugha hii neno Tembo sio tusi, ni jina la mnyama au pombe. kwani hata neno MAKUNDUCHI, ktk lugha ya Kiswahili lina 'taste' mbaya!! upo kaka!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 19, 2007

    Unajua kwa sisi wengine wa Bara hata hilo jina la eneo lao huko Unguja la Makunduchi ni matusi makubwa tena ya nguoni.Wakati mwingine wafikirie kutumia jina mbadala kama vile Barabara ya Kwanza au HamnaMakunduchi.

    ReplyDelete
  7. Tuna hakika gani huo ujumbe umetoka kwa watu wa Makunduchi?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 19, 2007

    HEY WEWE MBONA NA SISI TUSIOTOKA HUKO VISIWANI NENO "MAKUNDUCHI" NI TUSI? TEMBO NI JINA LA KISWAHILI ANAYEONA NI TUSI BASI ATUMIE NENO "NDOVU".

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 19, 2007

    hata wewe umeandika matusi kwani jina la hiyo wilaya ni matusi yafaa uiite MA-REDI-NEKEDI.naomba kuwakilisha.NOPE

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 19, 2007

    Mh! haya kazi nyingine hiyo Michuzi. huyo jmaa aliyetuma huo ujumbe yeye kwanza anaitwa Muombwa sijui huombwa nini hatujui ati tembo matusi mbona asemi ni matusi gani mhh huyu na wasi wasi naye au unasemaje Michuzi au ndo mambo ya mwambao hahaha!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 19, 2007

    Haya ya Makunduchi tena ni balaa, Kiswahili ukianza kukifuatilia sana unaweza kujikuta unaongea matusi kila siku. Kwa sisi wabara MAKUNDUCHI haija kaa vizuri, na mwandishi wa ujumbe anajitambulisha kwa jina la MUOMBWA hayo tena mimi simo. Kwa kweli Michuzi una kazi ngumu ya kujua hili neno litatumika wapi na halitatumika wapi.

    FC

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 19, 2007

    Hivi 'Tembo' siyo yule mnyama mkubwa kweli mwenye mizinga ya masikio na meno ya kutisha tunayemwona porini?

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 19, 2007

    Hivi web zinazokuja kwa kwenda mbele zinachukua maneno ya kiswahili ni bora au wanatuibia maneno? mfano
    www.kijiji.com

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 19, 2007

    Bwana au Bibi MUOMBWA? Huku kwetu Kigoma Makunduchi ni tusi kubwa sana yakhe...tafadhali zingatia lugha pia.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 19, 2007

    Kawaulize wa-Swazi maana ya MSASANI

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 19, 2007

    michuzi usisikilize hao wanaojifanya wanakijua hasa kiswahili hasa cha matusi,tanzania ina makabila mengi na kiswahili asili si makunduchi bali ni mchanganyiko lugha nyingi,hivyo hao watulize boli waache unoko.
    tunashukuru kwa moyo wako wa kutuletea habali.
    bwana awe nawe babu.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 19, 2007

    weee muombwa jinga kabisa naona kama unajaza tuu nafasi hapo,bora michudhi ungetundika picha nyingine ya JK BOYS kuliko ujumbe wa huyu pimbi.kwanza makunduchi na sie huku bara ni tusi kubwa pili tukifuata kila mtu na lugha yake itakuwa ishu mbona wajapan wana maneno mengi tuu ya matusi na mbona hujapeleka malalamiko yako kwa balozi wao wewe jinga kabisa.majina ya kijapan kama KUMANOTO,TAKAUCHI,TAKAVUZI mbona sie hatulalamiki?MiChu achana na huyo kenge muombwa,kwanza anaombwa nini?ni swali tuu.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 20, 2007

    Wewe muombwa huko juu, pambafu sana, ndio shida ya waswahili, ooh sisi hivi, sisi vile, mbona sisi wa bara matusi ni mengi tu, yawe yametokea Kenya, Uganda, Rwanda wala hatuoni ni issue kubwa, we unadhani kila mtu akianza kuchunguza lugha ya mwingine ina matusi mangapi kwenye lugha yake tungeishi hapa Tanzania, kwendeni zenu kule, kachumeni karafuu au msimu bado!!!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 20, 2007

    Muombwa maana yake ni mtoto aliyepatikana nje ya ndoa

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 20, 2007

    Ukistaajabu ya Mussa utaona....
    Sasa "Mikundu uchi" imekuwa ni neno la kawaida wakati "Tembo" limekuwa ni matusi!!! Mwe!! makubwa haya!!!

    Hebu tufafanuliwe hapo Mikundu uchi, neno "Tembo" lina maana gani?

    Kuna haja ya visiwa vyote vya Pemba na Unguja kuongeza maneno ya kiswahili katika matumizi yenu ili muachane na maneno kama marikiti, buku, skuli n.k.

    Sisi huku bara tunatumia sokoni, kitabu, shule n.k.

    Tunasubiri ufafanuzi wako.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 20, 2007

    Duu! Iko njemba mpaka ya Kigoma humu ama kweli mtandao umeleta mabadiliko makubwa katika mawasiliano.

    Natamania dagaa wa bichi wa mawese, ugali wa kivunde, samaki wa kukaanga~migebuka na yale maharage ya njano yakiungwa kwa mawese.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 20, 2007

    jamani maswala ya lugha tuyaache tu yaflow kivyake. kwa waturuki wakisema mavi=rangi ya bluu, kuma=mke mwenza, kutu=box na mengineyo. we acha tu heheheh...

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 20, 2007

    wabongo bwana kwenye matusi comments mia lakini mambo ya msingi ola

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 20, 2007

    Na wewe anony wa 11:07:00 huna nyimbo, hayo siyo matusi ni majina ya viungo\vitu. Mwanume ana mboo na mwanamke ana kuma, hayo ni majinaya viungo sasa yatamkwaje kama unasema ni matusi. Inatakiwa tukubali kitu kama kilivyo, msilete habari za mwaka 47 mama anadanganya kwa wanae kwamna watoto wanaokotwa baharini\kununuliwa dukani kwa mhindi.

    FC

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 22, 2007

    Sasa nyie wamakunduchi umenitukana! Kwetu NDOVU ni tusi kubwa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...