Home
Unlabelled
tenti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi hivi hao watu wanapopewa tenda za kazi wanapewa kutokana na ubora wa kazi zao au ndo kujuana na rushwa vimetawala.
ReplyDeleteHilo tenti si jana limemuangukia Kocha wa Yanga hilo? Au sio hilo? Sasa lingemuangukia Mheshimiwa "Mapanki"(Kandoro) si ingekuwa aibu hapo jamani, kiongozi wetu wa kitaifa anangukiwa na tenti?
Sisemi kwamba Micho hana thamani, lakini nataka tu kuonya hizi tenda ziwe zinatolewa kwa ubora wa kazi jamani. Sio kwa kujuana tu! Haya!