ughaibuni kweli noma. huyu dogo kushoto kenda juzi tu, leo keshawivyaaaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2007

    haya michuzi?hawa jamaa ndio kusema wako summer,au msimu gani?mahana naona mmoja kavaa t-shet,na uyo aliotoka home bado anajacket?na kofia za baridi hizo?wahambie waje na seoul uku waone watu walivyo wiva???mkereketwa seoul,,.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2007

    Wee mkereketwa wa Seoul,umesomea shule gani?Au nyie ndo watoto wa shemeji na mjomba mnapewa chance mkajaze vyuo abroad?MAHANA instead of Maana,T-SHET instead of t-shirt.Na huko Seoul unafanya nini kama sio unajaza college tu kwa pesa ya serikali?next time when u come here remember ur spelling mistakes,ngurubange weeeh.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2007

    "na kofia za baridi hizo?wahambie waje na seoul uku waone watu walivyo wiva???mkereketwa seoul,,. "

    Nadhani watanzania wenzangu tuwe wa kweli, wewe unasema in Seoul watu wameiva it can be true, sababu ya weather and other stuff, lakini kuiva isiwe sababu natumaini huko ulipo unasoma au unafanya kazi ya maana, because with my experience, nusu ya Watanzania hapa USA ni wababaishaji....

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 10, 2007

    Sijaona aliewiva..Na huyo ulesema kawiva anaonekana alitoka mererani maana hizo ndio nguo zao za machimboni..Vumbi tupu!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 10, 2007

    we Anony. hapo juu rafizi ya kihaya mpaka kwenye somo la mwandiko???
    Mavazi hayakuhusu inategemea na sehemu mtu aliko kwa mfano london weather huwa ni unsettled most of the time.kwahiyo mtu kubeba jacket au koti wakati wa summer ni sawa tu.ukitaka pure summer NY.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 10, 2007

    Huyo wa kushoto anaonekana anasoma maana kama sikosei amevaa t-shirt ya Uni hapa Uk. Thames Valley University TVU au inawezekana akawa siyo msomi amepewa tu na mshikaji wake tu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 10, 2007

    Kwa waswahili kuiva maana yake ni kunenepeana. Njia rahisi ya kuiva kwa aina hiyo ni kula junk food sana ambayo bei yake kwa kwaida ni poa sana.

    kwa mtaji huo, billionea Bill Gates bado hajaiva kiswahili.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 11, 2007

    NA WEWWE HATA KISWAHILI HUJUI "MAHANA" NDIO NINI?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 11, 2007

    hivi kushoto na kulia niaje? manake anayesema huyo wa kushoto kavaa shit ya shule lakini mimi naona ni kulia kwangu

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 11, 2007

    Huyo wa kushoto ni Elia tembo,doh kaka ni muda mrefu kaka hatujatiana machoni.wanasemaje mitaa yetu ya yauto? mdau wa europe

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 11, 2007

    Adam the mobb aka "mobb deep" aka mzee wa shooks ones! Damn nigga dats a deep look you have! Went to your blogg site , its dope! Yeah holding it down in mysore right? Make sure u take all the necessary knowledge from there man. And remember ; there aint no such things as half made crooks!

    ReplyDelete
  12. Duuh jamaa nyama za nguruwe zimemkubali shavu dodo.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 12, 2007

    Huyu jinene kachuiza sana ,mishavu ibaya , huyu mwembamba kapendeza i hope ni huyo mwembamba ndio anaye dsifiwa

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 12, 2007

    Huyu jinene kachuiza sana ,mishavu mibayaa , huyu mwembamba kapendeza i hope ni huyo mwembamba ndio anaye dsifiwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...