Home
Unlabelled
vifaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu unabahati ya wasichana wazuri,lakini kwanini usiwachie wenzako ambao hawajao?
ReplyDeleteNaona watu wakita wachumba itabidi niwashauri wakuone.
uncle Issa kumbe we Tall!mmependeza.kwa raha zenu bora msisahau soxy.
ReplyDeleteKaka mkono huo!
ReplyDeleteHaya kwa maelezo yako na wewe ukiwa 'jaji'..haya tunasubiri tuone,tutafanyaje sasa zaidi ya kukusikiliza kwakuwa una uhuru wa kutoa mawazo yako.
Vifaa mnavyo ndiyo hatubishi, ila tabia zenu mbovu na chafu.
ReplyDeletekweli mzuri mwenyezi mungu amsaidie
ReplyDeleteMzee mzima umeenda winga....kazi kwelikweli.
ReplyDeleteWow she is beautiful lakini naomba kuuliza alisimamia harusi au kwa bahati mbaya alivyaa hiyo color.
ReplyDeleteKama hakusimamia harusi basi wenye harusi bongo mkumbuke kuandika ukija kwenye harusi yangu no certain color...Gold naona ilikua color ya harusi so ...ina fade the meaning color of the bride and groom
Jamani natangulie kwa kusema this is just my idea....no mlolongo wa kunijibu back...okay...thanks
SAWA KAKA MISOUP. TUNAKUKUBALI NA UTEUZI WAKO WA AWALI WA MISS UNIVERSE.
ReplyDeleteHIVI LILE SUALA LA USAFIRISHAJI MAGARI TOKA UK-TZ LIMEISHIA WAPI?
MBONA UMELIZIMA KAMA MOTO WA KIFUU TENA BILA KUTUPA UPANDE WA PILI WA WALALAMIKIWA?
INABIDI TUINGIZE HOJA HII HATA KWENYE MAENEO YASIHUSIKA KWANI INAONEKANA KAMA UMELIFUMBIA MACHO VILE WAKATI LONGOLONGO HILO ULILIANZISHA VIZURI TU.
HATUKULAUMU LAKINI SI VIBAYA UKATUSAIDIA KAMA ULIVYOFANYA KWA POSTA NA KWA MUSTAFA HASSANALI.
NAONA THIS TIME UTATUPATIA JIBU NA IKIWEKANA JITIHADA ZAKO ZAWEZA KUZAA MATUNDA MAKUBWA NA KUJIKUTA UNALAMBA TUZO KUBWA KWA BLOG YAKO HII. TATIZO WEWE MWENYEWE HUJUI....MMAKONDE BWANA...HAYA MTANI
kaka huyo itabidi utafute kigoda!!
ReplyDeleteMdau wa june 3,2007 6:20:00 Kweli Mshikaji Wangu Kitu Kimeenda Winga Nimestukia...hahaha Misupu Una Balaa Nikija Dar Lazima Niwe Mpambe Wako Nipate Japo Mavumba
ReplyDeleteSir Issa HABARI ZE LEO MAALIM, KUMBE MATUKIO MUHIMU UNAYAFAHAMU .."..FIKA.."..MMEPENDEZA SAAANA..HIVI ."..SANTANA..".."(TEREMKA TULONGE) ZINAPATIKANA BONGO..??
ReplyDeleteKulaleki,
ReplyDeleteMichuzi kumgusa kidogo tu huyo dada Ushadinda!sasa ndo angekupa ingekuwaje huko Faragha!.
ushauri,
unapopiga picha na mabinti wazuri hivi kagua mazingira na hakikisha gari moshi umeli-park vizuri!
Michuzi speaking of U-miss mi binafsi nayapenda aya mashindano lakini kitu kinachoniboa ni quality of our winners! wengi hawana vigezo vya kuwa ma Miss kabisa!!!ukiangalia height,figure,open minded,etc na sio kwamba akina dada kama hawa hawapo Tanzania No! wapo ila wengi hawatoki kutokana na sababu nyingi tu lakini mi naona cha msingi tutoe zawadi ambazo zitawafanya wajitokeze kwa wingi kwa mfano scholarships za elimu ya juu,kama sponsors watasema endapo mshindi atakuwa ni form six graduate na amefaulu vizuri basi apewe zawadi ya kusoma nje ya nchi au ndani, Mlimani bure kila kitu na as we go kunaweza kuwa na za mpaka za CBE,IFM etc,zawadi za magari na mambo mengine zinaweza kuwepo,ajira za contract wakiwa likizo ili kuwafanya sio tegemezi.Hii itafanya wazazi wengi kuyathamini aya mashindano na kuwaruhusu watoto wao wajitokeze koz hakuna mzazi ambaye hapendi mwanae ashinde zawadi lets say ya elimu ya juu ya South Africa full sponsored.
ReplyDeleteICT NAKUBALIANA NA WEWE KABISA. WATU WANGEYATHAMINI HAYA MASHINDANO NA KUTOKA KWA WINGI . NAAMINI WAPO WENGI TU WENYE MIILI HIYO INAYOHITAJIKA KWENYE MASHINDANO HAYA NA AKILI PIA KICHWANI WANAZO.
ReplyDeleteWATU WENGI HAWATAKI KUJITOKEZA NA PIA WAZAZI HAWAKUBALI KWA VILE WANAONA BAADA YA MASHINDANO MTU ANAISHIA KUWA NA UPOPULARITY USIO NA MAANA ZAIDI YA KUFWATA NA KILA MWANAUME MJINI.
WAWE CREATIVE KATIKA ZAWADI HATA ZA MSHINDI WA KWANZA MPAKA WA TANO TU.
NADHANI NI SHIDA SANA KUWAPATA MASPONSOR WA HII MASHINDANO KWA VILE BADO WATU WANA STIGMA. KUWA MASHINDANO HAYA NI UKANDAMIZAJI WA WANAWAKE LAKINI KUMBE WANGEANGALIA KWA UPANDE MWINGINE SIO KUVAA SWIMSUIT TU NA HIGHHEELS IT IS MORE THAN THAT.
Wewe Anony wa June 4, 3:57 pm unasema watu wana stigma ndiyo maana hawajitokezi kutoa sponsorship ya mashindano haya ya U miss na wewe pia una stigma mbona hujajitokeza kuwa sponsor? Fikiri kabla hujalaumu!
ReplyDeleteNinachojiuliza mimi, ni kwa nini mwanamke ajipitishe mbele ya wanaume akiwa uchi au amevaa kichupi tu? Hivi unaweza kujisikia vipi kama dada yako anajipitisha hivyo mbele ya watu kwa madai ya kuwa anashiriki mashindano? Mantiki ya mashindano haya ni nini hasa? Na faida yake ni nini kwa jamii? Mimi nadhani kushiriki mashindano kwa kuwa uchi ni kujidhalilisha na wale wanaohamasisha mashindano hayo ni wakandamizaji wa mwanamke.
Naomba kuto hoja.
Michuzi, huyo si saizi yako; niachie mimi, wewe utaishia kitovuni.
ReplyDeleteTunaomba jina jamani
ReplyDelete