waamuzi wa kike na kiume wanasimamia michuano hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2007

    Bongo sasa safii akina mama kuwa msitari wa mbele katika kila kitu na sio kung'ang'ania haki tu pasipo matendo.Wasiwasi wangu ni pale watakapochezesha mechi za mchangani na huko marefa wanakochanwa viwembe je watamudu mbio hizo bro Michu?Safi lakini huree akina mama Bongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...