Home
Unlabelled
wadau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ibrahim Sapi Mkwawa nni jamaa poa sana nilisoma nae india. Ben ni mpenzi mkubwa wa yanga namjua sana naona wako na mzee mzima sululu. hivi wote hao ni mawakili? hongera sana ibra tutafuata mihuri mzee usitutupe
ReplyDeleteIbrahim Sapi Mkwawa nni jamaa poa sana nilisoma nae india. Ben ni mpenzi mkubwa wa yanga namjua sana naona wako na mzee mzima sululu. hivi wote hao ni mawakili? hongera sana ibra tutafuata mihuri mzee usitutupe
ReplyDeleteNawajua hawa washkaji kushoto ni G. Mlipano wa Wizara ya sheria na katikati ni I. Mkwawa wa NIC huyo mwingine simpatipati. Hawa ni wanasheria wenzangu. Mkwawa hatualikani??
ReplyDeleteHAWA MAWAKILI WEZI TU MI SIWAFAGILII WALA NINI MTU UKIENDA KWAO WANAKUTAJIA MIBEI UTADHANI WE MZUNGU! HAPO WANACHEKELEA WANAJUA MAISHA NDO WAMEISHAYAKATIA DENGE... HELA ZA KUWATAPELI CLIENTS...SIWAFAGILII KABISA
ReplyDeleteWa katikati ni ibrahim mkwawa ..mzee wa leaders na mchezaji wa kutumainiwa wa singasinga... mamsapu vipi mbona hatumuoni siku hizi? Sululu nae ni wakili??? kweli fani imeingiliwa
ReplyDeleteHuyo wa katikati ni Mkwawa.. jamaa mtu poa sana hana noma na mtu na anatoka ule ukoo wa akina mkwawa na ana dada yake ni jaji naona na yeye ataishia kuwa jaji..hongera mzee ila usitusahau maskani...si unajua hakieleweki???
ReplyDeleteHuyo mvulana wa kwanza anaitwa Ganga tulisoma nae oysterbay primary miaka ya zaman. kumbe umekua wakili?? hongera sana kesi siku hizi zimekua nyimngi sana hakikishen mnasaidia wanyonge. nakutakia kila la kheri
ReplyDeletekumbe Ganga ndo salun yako liverpool barber shop sinza hatuambiani?? vipi complimentary mzee maana nimenyoa sana pale kwako maana si mchezo salun yako kiboko. hongera mzee kwa kuwa wakili nitwangie 0712546785 James
ReplyDeleteDu mkwawa na mlipano hongereni!! inamaana mmetoka serikalini? tupeni contacts zenu wazee maana hakuna mtu asiyehitaji mihuri.. tena mwezi wa nane naenda kiwanja si unajua mambo ya kusaini madocuments?? michuzi ebu tuwekee simu au hata email address zao maana lazma utakuwa unawafahamu maana wameapishwa rundo kama inavyoonekana katika picha lakini umewatoa wao tu..contacts please
ReplyDeleteDu mkwawa na mlipano hongereni!! inamaana mmetoka serikalini? tupeni contacts zenu wazee maana hakuna mtu asiyehitaji mihuri.. tena mwezi wa nane naenda kiwanja si unajua mambo ya kusaini madocuments?? michuzi ebu tuwekee simu au hata email address zao maana lazma utakuwa unawafahamu maana wameapishwa rundo kama inavyoonekana katika picha lakini umewatoa wao tu..contacts please
ReplyDeleteMICHUZI NA HUYO BEN INAONEKANA NI MASHABIKI WAKUBWA WA LIVERPOOL SASA MI NAOMBA NIWE MEMBA WA BONGOREDS MAANA NAMI NALIPENDA SANA BWAWA LA MAINI NA TUWE NA MAHALI PA KUKUTANIA. OK?
ReplyDeleteumekarudisha tena kapicha kako hapo juu kulia
ReplyDeleteMBONA MNANICHANGANYA?? MICHUZI AMESEMA HUYO WA KWANZA KUSHOTO ANAITWA BEN MBONA WADAU WENGINE WANASEMA MAGANGA? MTU KAMA HUMJUI SIO KUIBUKA NA KUJIANDIKIA TU MICHUZI ANAWAJUA SIO KAMA NYIE MNAJIANDIKIA TU
ReplyDeletehao wabongo noma kweli huku US mtu ukifanikiwa kwa jambo kama hilo lazma wife awe pembeni mbona hao wako peke yao ina maana ni mabachela? hata mabachela wana madem. sio mambo hayo
ReplyDeleteMlipano nawajua nilisoma na dada zake ganga shule ya kifungilo lucy na gona. hongera kaka. wako wapi akina lucy na gona? mi nipo arusha am married and i have three kids.
ReplyDeleteHao wanasheria mafala tu hata mimi siwafagilii wala nini ndio wamelifanya taifa hili kuwa masikini ile mbaya kwakuingia mikataba feki inayoliletea taifa hasara miaka nenda miaka rudi
ReplyDeleteBro michuzi ungetwambia Ben amespecialize nini na Ibra nae kaspecialize nini maana bongo mawakali wanajifanya wanajua kila kitu. eg kama nikitaka mambo ya immigration, divorce, criminal, commercial je namwona nani kati yao? je kuna directory yoyote jinsi ya kuwapata au ndo mambo yaleyale ya kizamani??
ReplyDeleteHivi michuzi we unapatikanaje?? mbona katika kila tukio muhimu la nchi hii we upo? yaani nauliza nikitaka kukupata kwenye shuguli yangu nakupataje? anyway nawatakia kila la kheri mawakili
ReplyDeleteibra hongera sana kumbe tunaongea tu kny cm na umeapishwa juzi hata husemi, hongera sana kaka i am happy for you mr. advocate and congratulations!!! those are achievements in life we love!Hongerra.
ReplyDeleteSir Michu, tena nakuita Sir Michu kwa msisitizo. Kwa nini leo siku ya tatu unabania maoni yangu niliyotuma juu ya huyu mnayemwita Ibra? Wacha hizo Sir
ReplyDeletewadogo zangu, Ganga alitoka Wizara ya Sheria akahamia Bank of Tanzania
ReplyDeleteNa ni yeye huyo wa kushoto ila sikujua kama anamiliki saluni ya kunyoa manywele
Acheni kuchanganya mambo kama hamjui si mkae kimya? mara Ben anamiliki salun mara yuko wizara ya sheria mara yuko benki kuu tushike lipi? mara huyo ben mnamwita ganga!! cha msingi ni kuwa yeye ni wakili na anajukumu kubwa la kutetea haki za wanyonge sio kujali maslahi binafsi na kuovercharge clients
ReplyDeleteJina lake huyo kushoto ni Ganga Ben Mlipano alikuwa wizara ya sheria akahamia benki kuu na ni kweli ana salon huko sinza inaitwa Liverpool Barber shop ni jamaa poa sana namfagilia sana huyo.
ReplyDeleteNawafahamu sana hawa kina mlipano, huyu Ganga ana dada anaitwa Lucy yuko UK, hongera kaka.
ReplyDeleteHuyu Ganga ni Liverpool damu!!
ReplyDeleteBaba Attu mbona hatuambiani Bro mambo kimyakimya mpaka tuone kwa michuzi? Hongera sana lakini.
ReplyDeleteHuyu Ganga tulikuwa majirani sea view, hongera sana kumbe amekuwa mwanasheria.
ReplyDelete