wadau ben (shoto) na ibra wakiwa na mpambe wao sululu. ben ndiye mmiliki wa ile liverpool barber shop na ni mdau wa bongoreds wakati ibr ni mwanachama wa singasinga na sululu ni katibu mkuu wa shimiwi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2007

    Ibrahim Sapi Mkwawa nni jamaa poa sana nilisoma nae india. Ben ni mpenzi mkubwa wa yanga namjua sana naona wako na mzee mzima sululu. hivi wote hao ni mawakili? hongera sana ibra tutafuata mihuri mzee usitutupe

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2007

    Ibrahim Sapi Mkwawa nni jamaa poa sana nilisoma nae india. Ben ni mpenzi mkubwa wa yanga namjua sana naona wako na mzee mzima sululu. hivi wote hao ni mawakili? hongera sana ibra tutafuata mihuri mzee usitutupe

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2007

    Nawajua hawa washkaji kushoto ni G. Mlipano wa Wizara ya sheria na katikati ni I. Mkwawa wa NIC huyo mwingine simpatipati. Hawa ni wanasheria wenzangu. Mkwawa hatualikani??

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2007

    HAWA MAWAKILI WEZI TU MI SIWAFAGILII WALA NINI MTU UKIENDA KWAO WANAKUTAJIA MIBEI UTADHANI WE MZUNGU! HAPO WANACHEKELEA WANAJUA MAISHA NDO WAMEISHAYAKATIA DENGE... HELA ZA KUWATAPELI CLIENTS...SIWAFAGILII KABISA

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 13, 2007

    Wa katikati ni ibrahim mkwawa ..mzee wa leaders na mchezaji wa kutumainiwa wa singasinga... mamsapu vipi mbona hatumuoni siku hizi? Sululu nae ni wakili??? kweli fani imeingiliwa

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 13, 2007

    Huyo wa katikati ni Mkwawa.. jamaa mtu poa sana hana noma na mtu na anatoka ule ukoo wa akina mkwawa na ana dada yake ni jaji naona na yeye ataishia kuwa jaji..hongera mzee ila usitusahau maskani...si unajua hakieleweki???

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 13, 2007

    Huyo mvulana wa kwanza anaitwa Ganga tulisoma nae oysterbay primary miaka ya zaman. kumbe umekua wakili?? hongera sana kesi siku hizi zimekua nyimngi sana hakikishen mnasaidia wanyonge. nakutakia kila la kheri

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 13, 2007

    kumbe Ganga ndo salun yako liverpool barber shop sinza hatuambiani?? vipi complimentary mzee maana nimenyoa sana pale kwako maana si mchezo salun yako kiboko. hongera mzee kwa kuwa wakili nitwangie 0712546785 James

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 13, 2007

    Du mkwawa na mlipano hongereni!! inamaana mmetoka serikalini? tupeni contacts zenu wazee maana hakuna mtu asiyehitaji mihuri.. tena mwezi wa nane naenda kiwanja si unajua mambo ya kusaini madocuments?? michuzi ebu tuwekee simu au hata email address zao maana lazma utakuwa unawafahamu maana wameapishwa rundo kama inavyoonekana katika picha lakini umewatoa wao tu..contacts please

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 13, 2007

    Du mkwawa na mlipano hongereni!! inamaana mmetoka serikalini? tupeni contacts zenu wazee maana hakuna mtu asiyehitaji mihuri.. tena mwezi wa nane naenda kiwanja si unajua mambo ya kusaini madocuments?? michuzi ebu tuwekee simu au hata email address zao maana lazma utakuwa unawafahamu maana wameapishwa rundo kama inavyoonekana katika picha lakini umewatoa wao tu..contacts please

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 13, 2007

    MICHUZI NA HUYO BEN INAONEKANA NI MASHABIKI WAKUBWA WA LIVERPOOL SASA MI NAOMBA NIWE MEMBA WA BONGOREDS MAANA NAMI NALIPENDA SANA BWAWA LA MAINI NA TUWE NA MAHALI PA KUKUTANIA. OK?

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 13, 2007

    umekarudisha tena kapicha kako hapo juu kulia

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 14, 2007

    MBONA MNANICHANGANYA?? MICHUZI AMESEMA HUYO WA KWANZA KUSHOTO ANAITWA BEN MBONA WADAU WENGINE WANASEMA MAGANGA? MTU KAMA HUMJUI SIO KUIBUKA NA KUJIANDIKIA TU MICHUZI ANAWAJUA SIO KAMA NYIE MNAJIANDIKIA TU

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 14, 2007

    hao wabongo noma kweli huku US mtu ukifanikiwa kwa jambo kama hilo lazma wife awe pembeni mbona hao wako peke yao ina maana ni mabachela? hata mabachela wana madem. sio mambo hayo

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 14, 2007

    Mlipano nawajua nilisoma na dada zake ganga shule ya kifungilo lucy na gona. hongera kaka. wako wapi akina lucy na gona? mi nipo arusha am married and i have three kids.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 14, 2007

    Hao wanasheria mafala tu hata mimi siwafagilii wala nini ndio wamelifanya taifa hili kuwa masikini ile mbaya kwakuingia mikataba feki inayoliletea taifa hasara miaka nenda miaka rudi

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 14, 2007

    Bro michuzi ungetwambia Ben amespecialize nini na Ibra nae kaspecialize nini maana bongo mawakali wanajifanya wanajua kila kitu. eg kama nikitaka mambo ya immigration, divorce, criminal, commercial je namwona nani kati yao? je kuna directory yoyote jinsi ya kuwapata au ndo mambo yaleyale ya kizamani??

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 15, 2007

    Hivi michuzi we unapatikanaje?? mbona katika kila tukio muhimu la nchi hii we upo? yaani nauliza nikitaka kukupata kwenye shuguli yangu nakupataje? anyway nawatakia kila la kheri mawakili

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 15, 2007

    ibra hongera sana kumbe tunaongea tu kny cm na umeapishwa juzi hata husemi, hongera sana kaka i am happy for you mr. advocate and congratulations!!! those are achievements in life we love!Hongerra.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 15, 2007

    Sir Michu, tena nakuita Sir Michu kwa msisitizo. Kwa nini leo siku ya tatu unabania maoni yangu niliyotuma juu ya huyu mnayemwita Ibra? Wacha hizo Sir

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 15, 2007

    wadogo zangu, Ganga alitoka Wizara ya Sheria akahamia Bank of Tanzania
    Na ni yeye huyo wa kushoto ila sikujua kama anamiliki saluni ya kunyoa manywele

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 15, 2007

    Acheni kuchanganya mambo kama hamjui si mkae kimya? mara Ben anamiliki salun mara yuko wizara ya sheria mara yuko benki kuu tushike lipi? mara huyo ben mnamwita ganga!! cha msingi ni kuwa yeye ni wakili na anajukumu kubwa la kutetea haki za wanyonge sio kujali maslahi binafsi na kuovercharge clients

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 16, 2007

    Jina lake huyo kushoto ni Ganga Ben Mlipano alikuwa wizara ya sheria akahamia benki kuu na ni kweli ana salon huko sinza inaitwa Liverpool Barber shop ni jamaa poa sana namfagilia sana huyo.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 16, 2007

    Nawafahamu sana hawa kina mlipano, huyu Ganga ana dada anaitwa Lucy yuko UK, hongera kaka.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 16, 2007

    Huyu Ganga ni Liverpool damu!!

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 16, 2007

    Baba Attu mbona hatuambiani Bro mambo kimyakimya mpaka tuone kwa michuzi? Hongera sana lakini.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 16, 2007

    Huyu Ganga tulikuwa majirani sea view, hongera sana kumbe amekuwa mwanasheria.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...