
mdau shamim zeze akila pozi la kiflaviana. huyu bibie sio tu ni mmoja wa wanaoifanya http://www.darhotwire.com/ itambe pia ni mjasiriamali mzuri tu, na ni bonge la bloga wa mambo ya mitindo. mtembelee kwa kubofya hapa na uzuri wake yeye ni maneno kiduchu na picha kibao na habari moto kama hiyo ya juu ambapo rachel, mdogo wake hoyce temu, kala bingo huko ughaibuni la kuutwaa u-miss africa us na taji hilo lilimpatia zawadi ya kuwa mwanamitindo wa gazeti la EBONY, dola 5000 na tiketi ya kushiriki shindano hilo litakaloshirikisha warembo wa Afrika marekani. kwa ushindi huo wadau na tuburudike na chungwa http://www.jambovideo.com/2007/06/15/suma-lee-chungwa/
ilani: halahala wadau waosha vinywa; pete hizo mwaziona wenyewe..... ohoooo
Hongera Rachel Keep it up girl. I'm so happy for u. Yuster
ReplyDeleteKutafuta sifa tu, ndiyo ameshinda lakini hakuna mtu anayajua hayo mashindano. Watu waliohudhuria hawakuwa zaidi ya kumi na tano. Na hata ukiwaona hao washiriki kutoka nchi nyigine za kiafrika, wamefanana na baba zao.
ReplyDeletepete ndo nini michuzi?
ReplyDeletemwambie akachane nywele kwanza na kipilipili chake au aweke kalikiti
Huyu dada mi napenda style yake ya Nywele tuu! She is herself. Issa kuhusu Pete, nadhani ni kweli kabisa..inabidi ziheshimiwe......Ila aliwahi kuolewa..hahahah..all the best buddy....
ReplyDeletejamani mimi ninavyomzimia ZEZE siombei mabaya, ila tu mumewe akijaribu kumwacha tu! nimemdaka kwa mikono miwili
ReplyDeleteHuyu Shamim sawa huwenda anajitahidi kujitafutia tu mkate wake wa kila siku na kwa Bongo ataonekana yumo yumo na cheap publicity anayoitafuta good for her ila jamani Shamim uaache umbea,usengenyaji na uchonganishi watu karibu wote wanaofanya kazi na wewe wanalalamika. Im sure unaweza ukajirekebisha.Umependeza na low cut. Michuzi nimeambiwa rafiki yangu Kinje has a club na watu wanaburudika mno hapo tafadhali naomba ututumie pictures ya hiyo club yake. Inatia moyo kuona watu wengi wakijiajiri wenyewe.Iko siku Tanzania tutafika.
ReplyDeleteMichuzi mbona hadithi inautata...sasa kama ameshinda Miss Africa USA amepewa ticket ya kushiriki Hilo shindano tena wapi...??? Yeye ameshinda wapi? nashindwa kuelewa...
ReplyDeleteLakini all in all kama ame win kwenye ebony hongera zake..ingawaje hilo gazeti hata halina market tena USA siku hizi lakini ana build CV yake taratibu
Wabongo oyaaaaaa mabox yana pay sometimes sijui mtasema nini ...kujipaka tu hayo marangi usoni una scholaship ya $5000....
Hiyo Miss africa USA ilifanyikia wapi? Wala sijaisikia kabisa ngoja nita googling...nijue zaidi
ReplyDeleteHongera
Michu,
ReplyDeleteHuyu dada nilikuwa namuheshimu ila nimemtapika siku alipoamua kujiita "MZUNGU WA ROHO" Katika blog yake. Yaani amenisikitisha sana!
We Michuzi vipi? Kwani pete ndio nini? Kama vurugu zinafanywa tu.
ReplyDeletewe ananymous hapo juu unajidai umemtapika ye kujiita mzungu..sijui vitu gani.....SASA WEWE KIPI KILICHOKUKUNA au ulitaka ajiite mhindi watu wengine....kama wazeee!!....ye kajisikia kujiita hivyo
ReplyDeleterachel safi naona unafuata mkondo wasister ako tena nimesikia anaolewa...safi iyooo
achana na hao vibititi ngoma shindano ni shindano hata angekuwa pekee...huoni timu inapewa ushindi kwa nyengine isipofika uwanjani????
muache roho mbaya
Huyu shamim tena mie nikamuuliza kabisa, ana maana gani kujiita MZUNGU WA ROHO? Akakwepa swali.. badala yake akakimbilia kulitoa hilo neno.
ReplyDeleteRachel naomba ujibu mwenyewe,unaolewa kweli?Na nani?Mimi nilikua nafikiria kukuoa kwa kweli lakini mpenzi I think my time is up.Ila namwonea huruma huyo atayekuoa wewe bipolar.Tafadhali kama wataka kujua dalili za bipolar niko tayari kuzielezea ambazo dada Rachel anazo.
ReplyDeleteMichuzi fuatilia kwa undani kabla hujapablishi vitu vingine. Umeona kwenye blogu yake(Shamim) alivvyo na mtumbo mkubwa (sio mimba) halafu sura ya baba. Labda mashindano kama yale ya akina Remmy Ongala!
ReplyDeleteNdiyo ni kweli alishinda mashindano ya wale wenye sura na umbo la kuchekesha. Saizi ya tumbo lake ilichangia ushindi wake. Angalia tumbo lake(sio mimba) kwenye blogu lake.
ReplyDeletehamna lolote nyie hapa mnaojidai kusema mnaona wivu hata kama yeye ana mimba au tumbo lakini amethubutu kuweka picha yake nyie mbona hamtoi za kwenu si ajabu nyuso zenu kama mnapiga chafya au mna homa ya tumbo. mtabaki wivu la hamna means yoyote ya kutafuta pesa kazi yenu kusubiri waume ndo mle. mwenzenu anakimbiza pesa mmekazana maneno. washamba wakubwaaa wote.
ReplyDeleteHivi waTanzania tutaacha lini kuwa na wivu wa kijinga?? Dada wa watu kaamua kufanya vitu vyake nyie mnaponda. Ohh ana tumbo, mara nywele kipilipili hamna lolote nyie wivu umewajaa. Ndio maana waTZ maendeleo zero maana mtu akitaka kupanda wengine wanakuwa busy kumshusha.
ReplyDeleteDada yangu usikatishwe tamaa na hawa wachawi wachache. Keep up the good work
maendeleo gani aliyokuwa nayo ambayo watu wanajitahidi kumshusha? mbona wa kawaida tu! hiyo kazi ya Darhotwire au? kama ni duka mbona ana kaduka kadogo tu ka kawaida. Au hako kablog mtoto aliko nako ndio mnaita maendeleo, wabongo bwana! Hapa ni kwamba tumwache kama alivyo haina haja ya kumsakama lakini hana cha maeendeleo wala nini!
ReplyDeleteWhat we are doing to her is disapproval, informal social control refers to social mechanisms that regulate individual and group behavior, leading to conformity and compliances to the rules of society.
ReplyDeleteKama huyu bi mkubwa anafanya mambo ambayo ni kinyume na jamii yetu, ni wajibu wa jamii yetu kumuongelea ili ajirekebishe.
-tz_devil-
Jamani mwacheni huyu afanye vitu vyake!! Shamim usisikilize ya watu wewe chongaaaaaaaaaaaaaaa!! kama ujasiriamali wewe fanyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kwani wao hawajui marketing strategices wanafikiri biashara ni kukaa nayo chumbani bila kuifanyia matangazo!! vichomizi haoooooo!! na Wewe Rachel kama zawadi umeta achana na comments zisizo na point angalia maisha yako!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletebadala ya kumsifia Rachel ametukuza nchi nyie mnachonga tu, hapo amevaa kiasili hasa ya tz, anastahili sifa. na huyo shamim hata kama ana duka kwenye uchochoro lakini ndo anacho wengine wanapesa lakini hawana idea wafanyie biashara gani badala yake wanahonga wanaume. na hiyo blog mnayomkashifia halipwi bali amevolunteer kuwaletea picha na habari za dunia kwa wale ambao hawazipati na huwa kila siku wanafungua kujua kinachoondelea badala ya kumuunga mkono awaletea zaidi mna mvunja moyo. waswahili ni watu mlio nyuma sana pole yenu. wenzetu hata akihema kwa faida yake kila mara anaungwa mkono
ReplyDelete