mfanyakazi wa magazeti ya mwananchi francis bonda akimlisha kipande cha nyama mai waifu wake huku mabest wao wakishuhudia katika hafla ya harusi hiyo ilifanyika ndani ya ukumbi wa vijana sosho holi kinondoni. klabu cha makapera kinazidi kupukutika...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2007

    Hongera sana kaka Bonda

    ReplyDelete
  2. HONGERA SANA NDUGU YANGU BONDA!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2007

    hongera sana kaka bonda!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 16, 2007

    mhhh hii kali michuzi.are you sure hii ni harusi?mbona wako kivyao vyao na hakuna watu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...