Home
Unlabelled
dan
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hogera sana dogo.kazi tunayo kumrudisha Don -Masawe shule.hogera sana. Don, vipi utakuja lini USA?
ReplyDeleteHongera, lakini Northampton ni college haijapata hadhi ya chuo kikuu.
ReplyDeleteHongera kijana!
ReplyDeleteSomeni tuijenge nchi yetu,
Hey halafu sio mkipata hayo ma-international vyeti mnaikimbia nchi yetu.
Njooni nyumbani tuijenge nchi yetu.
mdau uliyesema northampton sio chuo kikuu unachekesha, inaitwa university of northampton...www.northampton.ac.uk. kijana unatakiwa uende shule na kuacha majungu
ReplyDeletemdau unayesema northampton sio university angalia www.northampton.ac.uk...nenda shule kijana utoe matongotongo ya majungu
ReplyDeleteWell done bro ! Hope tutakurusha juu juu tena soon ! Keep up the good works
ReplyDeleteChichika
Hongera sana dogo Dan!
ReplyDeleteyou have achieved something valuable and wonderful in your life. Hope that will be not the end of it, we need to see more of you...smart guy!
Ema, Bongo.
Jamani wabongo kwanini tuna wivu sana lakini Anon July 15, 2007 11:08:00 AM EAT Northampton University sio college ebu check kwenye internet its not fear tupeane moyo ilituendelee au wivu uwe mzuri wakutaka kushinda Hongera Tz Bro im proud of u
ReplyDeleteJamani hapo juu nimechemsha badalaa kuandika not fair nimeandika fear haya kweli tunatakiwa kurudi home sasa mimi nimekuwa mkoseaji mkubwa wa spelling mpaka najionea huruma masikini weeeeeeeeee
ReplyDeletecongratulations!!uncle Dan.Tupo Pamoja...love,Mami.
ReplyDeleteMsameheni jamani kapiga box kwenye cold room mda mrefu sana akili imeganda na ameshtukia kilichompeleka ni kusoma. atueleze yeye kapata ya kwake wapi kama atathubutu
ReplyDeleteAisee Rahim hongera sana!
ReplyDeleteWAKAKA WAZURI WANALIPA KWA KWELI. HONGERENI SANA
ReplyDeleteNamfahamu kwa Jina la Dany Kafufui - Mzee Mwamboza Head master wa Lwandai Secondary School alikua anakimbizana nae sana kaka yetu huyu.
ReplyDeleteHongera sana kaka nadhani Kanini, Majata na Mwinuka mwakiona hii aah watafurahi.
Washkaji nilichemka hapo juu, mnisamehe maana mie nilisoma hapo chuoni Northampton mwaka 2003 mpaka naondoka kwenda Chuo Chengine(Jina Kapuni)Northampton ilikuwa haijapata Cheo Cha Kuwa Chuo Kikuu kwasababu nyingi ikiwemo Royal Decree iliosainiwa na King Henry III mwaka 1265 baada ya Vita vya Lewes, ambayo ilikataza Kuanzishwa kwa chuo kikuu Hapo Northampton. Ila sasa wamepewa hicho cheo mwaka 2005, na mpaka mwaka 2006 mitihani yao ilikuwa ikipitiwa na chuo kikuu Leicester. Mwaka 2007 ndio wamepewa fursa ya kupitisha degree wao wenyewe. Samahanini wadau sio kwamba niko na majungu ila tu nilikosea kutoa maelezo bila ku-update ufahamu wangu. Napenda sana wabongo wawe na nondo za uhakika ili tukaikomboe nchi Yetu.
ReplyDeleteKumbe Ukererewe is UK , nilitaka kushangaaa....
ReplyDeleteBwana Michu, hizi snapu ziishie hapa hapa bloguni, zikifika home office ngoma itakuwa ngumu!! hakuna mtu anaitwa Andy huku, utamponza bure!! ndo mana mkerewe kakataa jina lake lisiwekwe ana akili yake huyo...
ReplyDeleteHongera Dan,sasa wewe siulimaza mwaka wa jana?mbona umegraduate mwaka huu?au ulifeli umerudia mitiani?
ReplyDeleteHongera hatimae umepasi,maana ulitakiwa upasi tokea mwaka wa jana.umerudia mitiani mingapi?
ReplyDeletehongera dogo umemaliza university...hata ingechukua miaka mia tano, watu wanamaliza mwaka huu wanaweza wakafanya graduation miaka mitano ijayo, acha ushamba mdau hapo juu. Hayo majungu, jitahidi na wewe tukuone....wivu wa kibongo hauna manufaa,fanya kweli mwanangu PHD na master sasa!
ReplyDeleteMK, Dom.
congratulate BIG BWOY!...you made it! Im happy for you bwoy....hah hah so many haters, have you become celeb or what?, insteay of aknowledges they shows biff...you know "box" na "kuchambisha vibibi" lazima uwe na roho ya kwanini. fanya kweli wangu....
ReplyDeleteHolaaaaa
hongera mdau!
ReplyDeletenimemaliza northampton university 2005 na sasa nipo sauzi A, na huondio mwaka ilikuwa full uni.....mdau hapo juu na historia zako za king henry 11 hujui unachoandika, bora uache tu. Nampongeza jamaa kwa ku-graduate, university sio mchezo ndio maana wengi wanaanza na hawamalizi, wengine mimba, wengine vichwa barafu tu, wengine wanasoma vyuo vya uchochoroni (unasoma Uk degree inatoka Australia...how?), wengine vyuo vya wakenya/wapopo ili mradi kurenue visa tu..hata hawajui wanasoma nini na watamaliza lini. kwenye graduation yangu UN, tuliograduate wakenya 16, wanigeria 28 na Mtz mmoja..mwenyewe
Ndugu zangu tusome ili tuendelee na tuache majungu, kwani madegree hayabadilishiki...Hongera mdau
AK, South A
ndio kijana!
ReplyDeleteHongera ndugu yangu. rudi kwa bi mkora tufanye mambo sasa. Tunataka vichwa vipya
coco beach.
mdau hapo juu unaetoka sauzi africa acha ushamba. kila mtu anamipango yake ulaya, usijione wewe ni mjanja kuliko wenzako. fala weweeee.
ReplyDeleteAnyway nilitaka kumpongeza dogo, lakini hilo fala limenitoa stimu...hongera dogo,wengi tulijua hutamaliza lakini umemaliza. Wacha na mimi nirudi shule, ulaya yenyewe bila shulehakieleweki.
Mwanadimock wa zamani....
hiyo ni poa sana bwana Dogo kwani hiyo ni kazi ngumu wangapi wameshindwa jitahidi uwe na degree
ReplyDelete7 kama mimi Nurman
you look cute on that suit my uncle but I will look my cuter
ReplyDeleteon it at 2013 Im sorry I said
I got 7 degree I was drunk you
know I use to drink a lot cocacola
a lot i hop Im forgiven Norman Iwold like my name to called Norman Kay is it ok