Home
Unlabelled
dotnata
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ze mukorogo ndani ya nyumba. Hivi ni nani aliwadanganya hawa wanawake kuwa ukiwa na rangi nyeupe utakuwa mzuri? Kweli wanawake mwalimu wao ni kipofu na alishaliwa na simba kwa hiyo hakuna hata kaburi la kwenda kutambikia kuondoa hii laana waliyoachiwa.
ReplyDeleteInasikitisha sana na ni upumbavu uliopindukia.
Anon July 15, 2007 7:55:00 PM EAT hivi hao wa hapo juu FM academia walijichuna na mkorogo ni wanawake maana usituonee wanawake tu hata wanaume siku hizi wanajichubua sana ila majority ni wanawake.lakini hata mimi sipendi watu wanaojichubua
ReplyDeletesabuni za chunisi bongo kali sana. Sio wote wanatumia mkorogo kwa makusudi ila hamna dematologist wa kumwambia mtu atumie dawa gani kwa ngozi yake hivyo kila mtu ananua fade cream na sabuni kuondoa makovu na hizo sio za acne .....they need proactiv lol http://www.proactiv.com/index.php..
ReplyDeletemy 2 cents advice
Michuzi, Dotnata hana email address?
ReplyDeleteHuyu dada weupe wake wala sio wa mkorongo, mimi namfahamu tangu alivyokuwa mdogo alikuwa mweupe hivi hvi
ReplyDeleteKaka Michuzi hivi KAOLEWA huyo?
ReplyDeleteMheshimiwa ISSA HABARI ZA LEO MAALIM...WAKINA DADA WA KIBONGO SASA HIVI SIO MCHEZO WANAJITAHIDI SANA NIMEFURAHISHWA NA HIYO PICHA...HALAFU SHE IS RICHABO.. TUNASHUKURU KWA KONTAKTI ULIYOTUPATIA.
ReplyDeleteWewe anonymous wa July 16, 2007 3:42AM, unasema unamjua tangia akiwa mdogo acha uongo, Huyu Dot ana Twin wake ni mweusi, yeye huo ni mkorongo kwenda mbele, ndio maana ngozi inavimba kwa sababu ya mkorogo.
ReplyDeleteanony 8:07:00 AM EAT kama huyo dada weupe wake ungekuwa hivyo tangu mdogo basi angekuwa mwarabu ,mhindi au mzungu!!hebu cheki kwapani na usoni, JIKOROGO la nguvu kishenzi!!Twamjua sisi huyu kuliko wewe tangu anaigiza hadi anakuwa mtaalamu wa ving`asti tunamuona!!
ReplyDeletemichuzi umetoa number kwa wanaohitaji huduma zake ila tunaomba uspesifai huduma gani? au kama hakuna mipaka sisi tutapiga simu tu kujaribu huduma zake
ReplyDeletePiga Kazi mwanamke achana na Longo Longo za wazushi ambao hawana Jipya iwe mkorogo, iwe Rangi si ishu. Maisha Mbele kwa mbele hakuna kurudi Nyuma.
ReplyDeletemoafrica