rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi mh. amani abeid karume akipewa zawadi na mkuu wa interpol duniani jackie selebi mara baada ya kuufunga rasmi mkutano wa 19 wa hao polisi wa kimataifa barani afrika huko arusha leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2007

    Hayo maputo konani hapo juu ya nini? Mkutano rasmi ama tafrija ya pati?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2007

    Compare to this generous gift here...What a surprise follow this link and see for yourself Kutoa ni moyo .... $10,000 tip

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...