nani kasema sifugiki. mbona snepu nimekubali kupigwa tena kloziapu. wadau kwa kusukutua tu, hamjambo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2007

    Ni "Kunguruzzz" sio "Kunguru". Vipi michuzi mbona unasahau staili yako?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2007

    licha ya kwamba umempiga kunguru, hiyo klosiapu imetulia misupu.
    hebu siku moja weka picha ya kinyesi kibichi tuone kama itakuwa supa au la??...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...