MAKAME WOKE HIS WIFE IN THE MIDDLE OF THE NIGHT TELLING HER...!!"Bibi eeh? Bibiyee..? 'Nashikwa na n'kojo mwiziooo...!!"
His wife said.... "Salaalah! Si wende kwani mpaka unian'sheee, kwani ushakuwa ntoto n'dogo weyeee..???"
Makame said "Haya Bin'dogoo, nilikuwa nakutaarifu tuu...!!"
Few minutes later, MAKAME came back and said...!!"Nke wanguu...! Nataka nikuambie maneno ya ajabuuu, yan'tokea chooni!!"
Now she is angry for being woken up for the second time, She said....."Salaalah...! Mwanamme kama hilo tembo huliwezi, si uliwache!! Haya,kitu gani tena cha ajabu ambacho hujaniambia wataka nambia tena...?"
MAKAME: "Nilipokwenda chooni, nlipofungua n'lango, taa ikawaka na nlipofunga n'lango taa izimika yenyewe....!! wallahi si maajabu tena hayo n'ke wanguuu...!?!"
His wife sat up and said..."Ebo!, Nlaanifu wee... tena shetwani nkubwa... kabisa weyee, n'jukuu waIbilisi, n'shenzi nkubwa!!!!! Ushakojoa tena ndani ya firiji...!!!!!!"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2007

    HEHEHEHEHH
    I LIKE THAT.EITHER KINYWAJI KILIZIDI AU SINGIZI AU BOTH.HEHEHHEHEHE.NICE ONE..INABIDI APEWE A BOTTLE KABISA AU PAMPAS KAMA VIBABU WAZEE....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2007

    hahahaha--hihihihi-heheheh,hii safi sana tena sana. Nimecheka sana.Nilikuwa sija CHEKA tangu cinema ya Idd Amin.Asante sana.
    Michuzi Mimi nina ombi moja kutoka kwako BOSS!. kwamba watu wanao toa burudani na vichekesho unaonaje nao ukawapa zawadi yoyote? au toa shindano kwa yoyote anaya leta kichekesho na mambo ya kushangaza atapewa zawadi ya picha,hii kama changa moto tu.
    Michizi mimi sikuachi SWALI LA RANGI YA BENDERA YA TAIFA KILA MTU KASHINDA SABABU ULILIKOSEA.
    michuzi nimecheka sana mpaka machozi yakanitoka.kakojoa kwenye friji..huyu....

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 16, 2007

    HII NIME I-PRINT NITA KUWA NASOMA NIKIWA NA STRESS ZA MAREKANI.
    ASANTE SANA

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 16, 2007

    ha ha ha its so funny , love it !

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 16, 2007

    Bollocks...!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 16, 2007

    hiki kibwagizo ukiwapa akina joti wakiigize ktk ze comedy itakuwaje?
    si itakuwa ni balaa...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...