
Tafadhali watanzania mpigieni kura MTQI Tanzania ambaye yuko China kwenye mashindano.
Credit card inahitajika na USD 2 hununua kura 10. Naona kuna watu wameshampigia kura lakini tunaomba tusaidiane kwani haba na haba hujaza kibaba.
Pia wapiga kura wanaweza kujishindia zawadi kama mnavyoweza kusoma kwenye website.
Picha za Sophia ni ngumu kupata kwani hawana website moja rasmi kwa hiyo ni kazi haswa. Update ni kwamba mpaka sasa hivi wametembelea miji ya China na jana walifanya mashindano ya Miss Best Smile ambayo ameshinda China. Wanaendelea na mshindano ya Talent na Miss Bikini leo ingawa matokeo yatatangazwa baadaye.
Asanteni
Pia wapiga kura wanaweza kujishindia zawadi kama mnavyoweza kusoma kwenye website.
Picha za Sophia ni ngumu kupata kwani hawana website moja rasmi kwa hiyo ni kazi haswa. Update ni kwamba mpaka sasa hivi wametembelea miji ya China na jana walifanya mashindano ya Miss Best Smile ambayo ameshinda China. Wanaendelea na mshindano ya Talent na Miss Bikini leo ingawa matokeo yatatangazwa baadaye.
Asanteni


Huyo na huyu ninayemwona kwenye hii link ni tofauti au huyu aliyeko ni wa zamani
ReplyDeleteFOLLOW this link
Hey guys check this out
ReplyDeleteI just got this and I can talk to my family in Tanzania ......
And I can watch TV and Talk to them on LIVE VIDEO....
You have to download it ...
ITS TOTALLY FREE... I don't know when they will start to charge but as of today is free and the sound quality is superb.
WWW.GLOBE7.COM
Sasa hivi natural katoka Ghana kwa weusi. I like her wengine wazuri lakini wanaonekana wako a little too artificial look.
ReplyDeleteWa kenya si bure kura zake zipo ndogo. Alichukua hiyo picha na marangi usoni...? kulikoni
useless kabsaaa.Sipigi kura kwa upuuzi huu.nonsense tupu
ReplyDeletehivi u miss siku hizi umekuwa big deal bongo?watu wanaacha kufanya kazi za maana wanakalia umiss na bongo flava.Hii nchi kweli itaendelea kwa mambo haya?
ReplyDeleteNa wewe michuzi unatuwekea huyu hata jina hana eti tupige kura,mmeona huku ughaibuni ni mteremko sio tuache kazi zetu za kipato tuwe tunahangaika kupigia kura uvivu?NO WAY HII SASA TOO MUCH.
nami nakuunga mkono kabisa mheshimiwa hapo juu, kula yenyewe 2 dolars, utafikiri zinaokotwa. na sisi wabaya wa sura nani atatupigia kula na kutoa hela yote, CV yake kwanza miss hata haipo tusije tukawa tunapoza hela zetu kwa mtu aliyekimbia shule kwa kuendekeza uzuri wake.
ReplyDeleteCV yake kwanza huyo tunaitaka ndo tuanze kurusha dolars zetu
ReplyDeleteNyie wote mnaosema umiss sijui nini acheni ushamba. Kama hampigi kura wengine watapiga. mambo ya kusema bongo tumefanya sijui nini nyie ndo mmepitwa na wakati. Haya mashindano yapo kila mwaka ni kwa vile tu nchi yetu ndio imeanza tena kujiingiza kwa mashindano haya makubwa though ni mda kidogo ila washiriki wetu wa sasa hivi ndio wameanza kuonekana na kujitahidi sana.
ReplyDeleteYalikua toka kitambo sasa kama wewe unazania ndio leo twahangaika IQ yako kwa mambo ya social iko ndogo sana
kaka michu eti flavia alianguka wakati anasubiri kupima ukimwi?
ReplyDelete