Home
Unlabelled
nungwi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi, hawa wa dada wa kitanzania wananifurahisha sana! Inaonekana suala la customer care linapewa kipeumbele sana nchini kwetu kwa sasa! Ni vizuri kujifunza zaidi kujua wateja wetu wanataka nini na sisi tunaweza kuwapa nini ili tujihakikishie vipato kutoka ndani na nje ya nchi yetu tajiri ya maliasili lakini masikini wa mapato. Halafu kwa zaidi ya mwaka nimekuwa nikichangia kama anony! Leo nitatumia jina langu la utani yaani Kanagawa halafu baada ya mwaka tena nitaanza kutumia jina langu halisi. Nafanya hivyo kwa vile kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo ninavyoona kuwa contribution zangu zinapita kwa usalama zaidi kuliko madongo na matusi yaliyokuwepo wakati tunaanza.
ReplyDeleteKaka hiyo kazi akiipata mwanaume "rijali" hiyo rangi ya kucha inapakika kweli hapo jamani? Mweeh!
ReplyDeleteVinginevyo utajikuta unapaka unyayoni badala ya kuchani.
Kaka Michuzi utaiweza hiyo kazi? Au ndo utapaka kidole kimoja kwa masaa mawili ili uendelee kuwepo.
Yataka "moyo!"
Tehe! teh! tee!
Mh mambo ya hina hayo jamani Zanzibar kuna raha zake! hebu nendeni mkajionee wenyewe
ReplyDeleteNadhani hao madada wa kizungu ni mashoga wa kike. Sina tatizo na suala hilo lakini ninajaribu kuona kupitia mazingira yao ya kuwa matembezini peke yao.
ReplyDeleteKawaida wangukuwa mwanaume na mwanamke.
Hii ni jinsi nionavyo, na wala sina hisia mbaya yoyote dhidi ya dada hao.
watoto wazuri sana..ashakumu si matusi....
ReplyDeleteanonym wa 10:45 mmh tangu lini kwenda kupaka hina unaenda na wanaume,
ReplyDeleteeti mashoga! wewe mshamba wa hina nini?
Kaka michuzi hata wazungu wanafunza wa miguuni!!!!!!! Siamini hata kidogo!!!!
ReplyDeleteJamani hata kama ndio asili yetu kukaa chini, navyojua pedicure takes more than an hour, kwa kweli ukaaji huo ni very unconfortable.
ReplyDeleteJamani eeh!
ReplyDeleteMi natafuta mchumba/mke wa kizungu naishi hapa hapa bongo na kipato changu ni cha kawaida tu. Napenda sana binti kutoka nchi za Scnadinavia maana hawara (girlfriend) wangu wa kwanza kabisa alikuwa ni mswidi.
mwenye kujua namna ya kufanikisha hili awasiliane nami kwa barua pepe hii: mkwanzania@hotmail.com
Naomba kuwasilisha