Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2007

    mie hili swala la kupima kwa hiari silielewi. sasa mtu akijikuta na virus then what? do they get any help at all i.e cousling, misaada kidogo kwa wasiojiweza fuaford dawa za ugonjwa huo kwa waathirika, na kuelimishwa zaidi kuhusu usambazaji au uambukizwaji wa gonjwa hilo?
    sidhani kama watu wengi watajitokeza kwa hiari kupima sababu wengi wao wanaamini kutokujua wanao au hawana ni vyema. Lakini serikali ingefanya kampeni moja kabambe ya kuhamasisha watu kuhusu gonjwa hili. wangetenga a substantial amount of fund kwa hamasisho hilo ikifuatiwa na misaada kidogo kutoka kwa serikali kwa waathirika kama couselling, dawa na elimu bora kuhusu ukimwi. However pongezi kwa rais kujitolea hiari ya kupima [a good gesture]but swala ni lile lile, wananchi watafuatilia nyayo za rais nao wakapime??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...