
mdau humphrey aliyetwaa shahada ya udaktari wa falsafa(phd) hivi majuzi katika chuo kikuu cha Waterloo nchini canada (joho jekundu/kijani) akiwa na ndugu, jamaa na marafiki baada ya kuvuta nondo kubwa karibuni. hongera kaka humphrey na asante mdau manambi kwa picha na taarifa. pokeeni zawadi hii http://www.youtube.com/watch?v=LlU2VI8BIiU
Ongera Humprey.....ni Humprey Rutagemwa ? manake picha haionekani vizuri
ReplyDeleteKweba
Hongera sana Tz bro
ReplyDeleteBwana Michuzi, mimi ninavyoelewa hiyo kitu inaandikwa PhD au Ph.D sio kama wewe ulivyoandika. Nafikiri tunakosoana tu sio vibaya.
ReplyDeleteMdau
YES.... NI MZEE WA MISELE NA KISAMVU HUMPREY RUTAGEMWA.
ReplyDeleteHONGERA SANA TOKA ROOM 2 ILBORU.
Congratulation Dr. Rutagemwa. Is that Prof. Shen? You Did it bro.
ReplyDeleteJ.D
Houston
Ndio ni Humphrey Rutagemwa
ReplyDeletehongera Humphrey,
ReplyDeletemambo mazito hayo..........
from calgary.
Duh aisee huyu jamaa sijaonana nae longtime najua ni kichwa sana kwenye Physics, Math na Chemistry toka Ilboru. Nilipigaga A's za Chem na Phys kutokana na tutoring zake. Kama ni wewe na unasoma hii tuwasiliane Mazee kwa e-mail hii Geeque113@yahoo.com
ReplyDeleteHongera sana kwa kubanjuka na PhD.
Tunazidi kukosoana;
ReplyDeleteAnonymous uliyeandika, "Bwana Michuzi, mimi ninavyoelewa hiyo kitu inaandikwa PhD au Ph.D sio..."
Mimi ninavyoelewa hiyo kitu inaandikwa PhD au Ph.D.
BENEDICT NICKY MWANJALI UNAONA VIJANA WANAPATA NONDO KALI LAKINI HAWAPIGI KELELE LAKINI WEWE KIDOGO TU USHUZI MPAKA MATAKONI ONA HUYU JAMAA KALA NONDO NZITO LAKINI KATULIA, SIYO WEWE KUJIKUNA KWENYE UCHI KILA MARA HALAFU UNATAKA KUWAPA WATU MIKONO, RUDI HUKU ULIPE MADENI YA FEDERAL LOAN DOLLAR KARIBU ELFU SITINI!
ReplyDeleteHongera sana Humphrey!
ReplyDeleteNakuona Manambi Ismail Manambi unasindikiza wasomi.Neema hongera nawe pia.
safi sana kijana kwa kubukua vilivyo! Manambi Ismail Choka safi mzee long time! Kinondoni
ReplyDeleteHongera sana kaka Humphrey,Neema na wewe hongera sana wifi yangu..tunawasubiri kwa hamu kubwa sana..!!!
ReplyDeleteChang'ombe.
Hongera humphrey
ReplyDeleteHongera sana Humphrey, we are really proud of you!
ReplyDeleteRotterdam.
Hongera sana
ReplyDeletekwa kutunukiwa shahada ya juu ngazi ya PhD.Wasomi tunakuwa wengi Bongo ni vizuri sana ..
Ila mie nimeshangazwa sana na Dr. mwezangu ambaye ametumia shahada hii kujifanyia Advertisement akiwa na dhumuni la kujitangaza kwenye jamii ..wala sioni dhumuni lolote la kuweka picha ya graduation hapa.
Bwana Michuzi mambo ya mtu kumaliza shule na kutuma picha ili atangazwe mie sioni kama ni dhumuni la blog hii.......kama magraduate wote tutatuma picha sijuhi itakuwaje.....mie naona kama mambo fulani ya kizamani siku hizi shahada siyo kitu cha kushikia bango ......Ingekuwa safi na fair kama ungeliweka picha ya watoto wanasomea kwenye miti au majiwe nawatoka humo na kwenda form 1 au form 6 hiyo ni encourage kwa young generation kulikoni kuweka picha za watu kama sisi Dr..s tunaosomea kwenye kuku kila kitu kipo.....
Congraturation graduates...
Dr. (mkereketwa Ughaibuni)
Daktari mkereketwa usiwe kama Dr Dre. Umesahau kuna watanzania wengi sana huku nje tumewachangia nauli na pocket money wazazi wametoboka hela mifukoni wameiba kwa jaili yao halfu wameishia kupiga boksi wasisome? wacha wanomaliza walete changamoto kwa wengine waachane na maboksi warudi shuleni
ReplyDeleteHongera sana Humphrey!!
ReplyDeleteVery good stuff
Copenhagen :)