mdau humphrey aliyetwaa shahada ya udaktari wa falsafa(phd) hivi majuzi katika chuo kikuu cha Waterloo nchini canada (joho jekundu/kijani) akiwa na ndugu, jamaa na marafiki baada ya kuvuta nondo kubwa karibuni. hongera kaka humphrey na asante mdau manambi kwa picha na taarifa. pokeeni zawadi hii http://www.youtube.com/watch?v=LlU2VI8BIiU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2007

    Ongera Humprey.....ni Humprey Rutagemwa ? manake picha haionekani vizuri

    Kweba

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2007

    Hongera sana Tz bro

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 12, 2007

    Bwana Michuzi, mimi ninavyoelewa hiyo kitu inaandikwa PhD au Ph.D sio kama wewe ulivyoandika. Nafikiri tunakosoana tu sio vibaya.
    Mdau

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2007

    YES.... NI MZEE WA MISELE NA KISAMVU HUMPREY RUTAGEMWA.
    HONGERA SANA TOKA ROOM 2 ILBORU.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 12, 2007

    Congratulation Dr. Rutagemwa. Is that Prof. Shen? You Did it bro.
    J.D
    Houston

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 12, 2007

    Ndio ni Humphrey Rutagemwa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 12, 2007

    hongera Humphrey,
    mambo mazito hayo..........
    from calgary.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 12, 2007

    Duh aisee huyu jamaa sijaonana nae longtime najua ni kichwa sana kwenye Physics, Math na Chemistry toka Ilboru. Nilipigaga A's za Chem na Phys kutokana na tutoring zake. Kama ni wewe na unasoma hii tuwasiliane Mazee kwa e-mail hii Geeque113@yahoo.com

    Hongera sana kwa kubanjuka na PhD.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 13, 2007

    Tunazidi kukosoana;

    Anonymous uliyeandika, "Bwana Michuzi, mimi ninavyoelewa hiyo kitu inaandikwa PhD au Ph.D sio..."

    Mimi ninavyoelewa hiyo kitu inaandikwa PhD au Ph.D.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 13, 2007

    BENEDICT NICKY MWANJALI UNAONA VIJANA WANAPATA NONDO KALI LAKINI HAWAPIGI KELELE LAKINI WEWE KIDOGO TU USHUZI MPAKA MATAKONI ONA HUYU JAMAA KALA NONDO NZITO LAKINI KATULIA, SIYO WEWE KUJIKUNA KWENYE UCHI KILA MARA HALAFU UNATAKA KUWAPA WATU MIKONO, RUDI HUKU ULIPE MADENI YA FEDERAL LOAN DOLLAR KARIBU ELFU SITINI!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 13, 2007

    Hongera sana Humphrey!
    Nakuona Manambi Ismail Manambi unasindikiza wasomi.Neema hongera nawe pia.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 13, 2007

    safi sana kijana kwa kubukua vilivyo! Manambi Ismail Choka safi mzee long time! Kinondoni

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 13, 2007

    Hongera sana kaka Humphrey,Neema na wewe hongera sana wifi yangu..tunawasubiri kwa hamu kubwa sana..!!!
    Chang'ombe.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 13, 2007

    Hongera humphrey

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 13, 2007

    Hongera sana Humphrey, we are really proud of you!
    Rotterdam.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 13, 2007

    Hongera sana
    kwa kutunukiwa shahada ya juu ngazi ya PhD.Wasomi tunakuwa wengi Bongo ni vizuri sana ..
    Ila mie nimeshangazwa sana na Dr. mwezangu ambaye ametumia shahada hii kujifanyia Advertisement akiwa na dhumuni la kujitangaza kwenye jamii ..wala sioni dhumuni lolote la kuweka picha ya graduation hapa.
    Bwana Michuzi mambo ya mtu kumaliza shule na kutuma picha ili atangazwe mie sioni kama ni dhumuni la blog hii.......kama magraduate wote tutatuma picha sijuhi itakuwaje.....mie naona kama mambo fulani ya kizamani siku hizi shahada siyo kitu cha kushikia bango ......Ingekuwa safi na fair kama ungeliweka picha ya watoto wanasomea kwenye miti au majiwe nawatoka humo na kwenda form 1 au form 6 hiyo ni encourage kwa young generation kulikoni kuweka picha za watu kama sisi Dr..s tunaosomea kwenye kuku kila kitu kipo.....
    Congraturation graduates...
    Dr. (mkereketwa Ughaibuni)

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 15, 2007

    Daktari mkereketwa usiwe kama Dr Dre. Umesahau kuna watanzania wengi sana huku nje tumewachangia nauli na pocket money wazazi wametoboka hela mifukoni wameiba kwa jaili yao halfu wameishia kupiga boksi wasisome? wacha wanomaliza walete changamoto kwa wengine waachane na maboksi warudi shuleni

    ReplyDelete
  18. Hongera sana Humphrey!!

    Very good stuff

    Copenhagen :)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...