niko na mdau wa ukerewe ambaye hataji kunitajia jina lake kwa sababu anazojua mwenyewe. hapa naomba kuuliza, kisheria saa huvaliwa mkono upi kwa mwanaume/mwanamke?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2007

    Mwanamme mkono wa kushoto, mwanamke mkono wakulia. pia kushika kopo la kinywaji ni kama ulivyoshika na sio kama mpini.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2007

    SAA INA VALIWA MKONO WA KUSHOTO KWA DUME

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2007

    Bwana Michuzi ukiwa kama muislamu kitu vaa kuanza kulia kwahiyo haina mwanamke wala mwanaume vizuri kuvaa kulia kuliko kushoto unaelewa mkono wa kushoto ni mkono wa nini bwana michuzi haha! babel oyeeeeeeee torres 5 man u 0.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 14, 2007

    We already know you know Michuzi huyo ni Omar Msilwa mdogowake Baraka Msilwa. Anyway a watch for me can be worn which ever hand as long as you feel comfortable mimi na vaa mkono wa kushoto wengine feel comfortable kulia so I guess it matters with the person's comfort but i'm sure there's probably a right answer.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 14, 2007

    Kwa mwanamke mkono wa kushoto ili akiwa anapiga na kukaangiza isirukiwe na mafuta au maji ikahariba.

    Kwa mwanaume mkono wa kulia ili...

    ReplyDelete
  6. Michuzi utakuwa umechemsha hapo saa yavaliwa mkono wa kulia

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 14, 2007

    Wengi huvaa mkono wa kushoto. Lakini inategemea na mtu anavyo feel comfortable. Kuna wengine wanamatatizo na mkono. kwahiyo mie sio tatizo.
    MMJ

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 14, 2007

    Inategemea kama wewe ni left au right handed person .

    Wanawake wengi wanaotumia mkono wa kushoto wanavaa saa mkono wa kulia.

    Lakini saa za mkononi zimeshakua thing of the past. Wasichana wengi wanavaa as one of the accessories. Ndio maana zina kuja na kila rangi siku hizi kumatch kiwalo chako.

    Kwa wanaume sijui but I don't think it matters that much. As long you are comfortable any hand is good to go.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 14, 2007

    We Muchuzi bwana....eti kisheria. Sheria gani hiyo inayozungumzia uvaaji wa saa?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 14, 2007

    Hakuna sheria katika katiba ya nchi yoyote juu ya mkono upi wa kuvaa saa.Ni mazoea tu kwamba wanaume huvaa mkono wa kushoto "face up" na wanawake mknono wa kulia "face down".
    Kwa hiyo bwana Michuzi, ukiamua kuvaa saa mguuni hata kiunoni au shingoni kama itatosha,ni juu yako, hakuna kesi ya kujibu mahakamani.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 14, 2007

    Saa inavaliwa mkono wowote unaotakawewe

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 14, 2007

    Michuzi ulivyoshika hiyo chupa unaonekana unapenda sana kutekenya MAMBO FULANI. Saa bwana ni kona la kushoto ila wanajeshi akina Kabira na JK ndo wanavaa kono la kulia. So Michupi umepatia kabisa-Keep it up.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 14, 2007

    Michuzi mbona unatuyayusha,saa kuvaa mkono wa kushoto au kulia,wewe mbona umemuacha my wife wako nyumbani na sioni pete kidoleni?!Au mkono wa.....

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 14, 2007

    Naamini katika hili hakuna mtu atakyetoa jibu sahihi.Hakuna sheria ya mtu mwanammke au mwanaume avae saa mkono upi.

    Kila mtu anaweza kujenga hoja tokana na mazingira ya utamaduni wake,mazoea, dini na kufuatisha mkumbo wa watu.Kila mtu atatetea hoja yake.Mfano mimi huvaa mkono wa kushoto na mimi ni mwanaume ndi najisikia vizuri ndivyo nilivyozoea.

    Mfano Waislam wengi kwa mkno wa kushoto lakini watu wengine huchamba kwa mkono wa kulia na kila mtu anasababu zake.Unaweza kusema kuchambia mkono wa kulia ni ujinga na mwingine akasema kucahmabia mkono wa kushoto ni ujinga .
    Mdau

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 14, 2007

    Inategemea funguo ya saa iko pande gani. ikiwa pande ya kushoto ya saa, basi saa hiyo ni ya kuvalia mkono wa shoto. Ikiwa ufunguo uko upande wa kulia wa saa basi saa hiyo ni ya kuvalia mkono wa kulia.
    Muhudhari Majaliwa.

    ReplyDelete
  16. Duuh huyu mdau wa ukerewe kafanana na familia ya kina Baraka msilwa

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 15, 2007

    MICHUZI UNA AJENDA YA SIRI YA KUTANGAZA KIKUNDI CHA ASHA BARAKA NA FAMILIA YAKE YOTE.
    ULIANZA KWA AMINA CHIFUPA NA MEDDY SASA MMOJA AMEONDOKA NA DILI LIMEKUFA. HUNA PA KUVUTA GANJA.
    HUYO JAMAA ALIKUJA BONGO LONG TIIIIME NA AMESHAREJEA UK KULA BOX; ETI LEO UNAJIFANYA HATAKI KUJITAJA JINA. WATU WANA MAJINA KUMI KUMI HUKO UK.
    KUMBUKA HUYO NI MME WA MTU NA HUKO ALIKOKUJA KULA RAHA BONGO, ALIPIKUWA NA MIPAPA KIBAO. MBONI HUTOI PICHA ZAKE AKIWA NA HIYO MIPAPA.
    SAA KUVALIWA MKONO WA KULIA AU KUSHOTO NI SAWA LA KULETA LIGI YA MTU HULA CHAKULA NA KIJIKO AU HULA CHAKULA KWA KUTUMIA KIJIKO? TAFUTA MADA ZA MAANA...MMAKONDE BWANA.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 15, 2007

    Mie najua Kuvaa Saa Mkono Wa Kulia Nisawa na Kuchambia Mkono wa Kulia ...Ila Kuvaa Ni Kuvaa Tu si sawa Na kutovaa..Kumradhi Wadau

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 15, 2007

    duuuu michu wachia huyo pound zake kila siku unamtafuta kisa kujidahii eti ujue jina lake hii ndio visa sasa wewe utapingaje picha na mtu kila siku na kunywa naye kila siku napia unajua kuwa katoka ukerewe so what .... mbona mie nimetoka uswisi hapo ndio benk ya dunia ipo na marais wote wanaweka kitu pesa hata bongo pesa yao ndio ipo hapo je sema na hiyo....

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 16, 2007

    Michu, kupanga ni kuchagua, unaweza vaa saa hata kichwani, kwani aliyesema saa inavaliwa mkono wa kushoto nani? kama ipo formula tupewe basi. Kuhusu kutopewa jina,mi mshikaji simraumu maana majina ya ukelewe na ya bomba is not necessarily the same, uchelewi kusikia mshikaji jina lake ni Ndikumana hapo ndo utajaza kama kweli Bongo majina hayo yapo!!! kwa hiyo mzee masuala ya majina Michu husisitize kabisa kupewa

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 16, 2007

    Michuzi, mimi nafikiri ni suala la kuchagua maana kama unapenda kuvalia mkono wa kushoto ni vyema ukafanya hivyo usilazimishe! Ni kama mtu akuulize mpasua wa kimini ukae mbele au nyuma! Hata hivyo sheria ni muswada uliopitishwa na bunge na ukasainiwa na rais. Sidhani kama bunge letu tukufu ama mheshimiwa rais wa URT walipata kushirikishwa katika kuunda hii sheria ya uvaaji wa saa.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 16, 2007

    Kwani huyu Omar anakaa wapi....mimi nimempenda...how can i reach a brother what state/country???? nipo NJ hapa.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 16, 2007

    jamani Omari kwenda bongo imekuwa noma?? hao wanaouchonga na kumbonda ni wale wasio na visafirio,inaeleweka hiyo.. jamani wakati wenu utafika, na kama ana mke so what, mwacheni a cheat kidogo mbona mkewe kiguru na njia huko Leicester?? kwanza yeye ni muislamu anaruhusiwa wake wanne, wenzie akina fundikira walikuja bongo holiday hawakurudi tena walioa sweet sixteens!! let him have his fun, kama ana majina mia mbili thats non of anybody's business.. By Meya of Milton Keynes

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 17, 2007

    Hapo juu nakubaliana na wewe kabisa Omar is a cool brother ni mshakaji long time hana makuu na kama anayo hafikii vijana wengi sana ila nasikitika kama kweli Omar utakuwa umeoa mwanamke mwingine na si yule demu wako mweusi ana shepu na miguu mizuri alikuwa akionekana.....

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 17, 2007

    Michuzi niombee address ya demu wa zamani wa Omari i like her so much kama tu atakuwa hajaolewa Omari anajua namzungumzia nani.

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 18, 2007

    michuzi mbona huyo shoga yako mume fanana kiasi hiki mimi nilidhani ni pacha ati kumbe ni dume la mbegu

    ReplyDelete
  27. kwa mwanaume huvaa mkono wa kuume ambao ndio wa kulia, kwa mwanamke wakushoto. kutokana na mkono wa kulia kutumika sana kwa shughuli mbalimbali na ngumu, pakatokea watu kuikwepesha saa isidhurike upesi, na kwakuwa hapakuwa na sheria kikatiba basi wengi waka amua kuvalia saa mkono wa kushoto....ingawa mkono wa kuume ni wa mwanaume na anapaswa kuvali saa mkono huo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...