
mh. freeman mbowe wa chadema alikuwepo kwenye uzinduzi wa kupima ngoma kwa hiyari

mh. profesa ibrahim lipumba wa cuf alikuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni ya kupima ngoma kwa hiyari leo asubuhi viwanja vya bustani ya mnazi mmoja gadren tukio ambalo lilirushwa laivu na itv na channel 10 na redio wani na star tv na redio free africa na mlimani redio
Michuzi vipi mzwee wewe uliogopa kwenda nini? naona ulikuwa zako sebuleni unazifyotolea kwa mbaliii hahaa man inataka moyoo.
ReplyDeletekupima ngoma kaaaaaaaazi kweli kweli!nawapa hongera wale wote ambao wamepima.
ReplyDeleteKupima ngoma sio kazi hata kidogo, kanzi ni kupokea matokeo, na kupokea pia unaweza tatizo litakuja kwenye KUYAFUNGUA kuona kilichoandikwa!!!! hapao kaaaazi kwelikweli na yataka moyo. eti mimi nilifikiri hao viongozi waliopima hapo majibu yao tungetangaziwa au kuonyeshwa moja kwa moja damu ikipita kwenye vipimo vyote vya Test1 and 2 LIVE kwenye TV!!!! Nawasilisha...
ReplyDelete