kuna vijana wawili wa kibongo wamekamatwa na mzigo wa mihandarati huko japan waliyoiweka kwenye bilinganya 61 ambayo ilikuwa na thamani ya takriban dola laki nne na nusu. habari imeandikwa kwa kijepu hapa kwenye link hii hapa http://www.asahi.com/national/update/0827/TKY200708270298.html mdau mwenye uwezo wa kutafsiri atusaidie...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. I guess my brken english will help from. Thank you.
    ***********************************
    Because pack (the retail price) of about forty-seven million yen in about 790 grams of dehydrated vegetables such as the green peppers cocaine and smuggled from Peru the Tokyo customs accused 2 men of the Tanzania nationalities to the Tokyo District Public Prosecutors Office on suspicion of a/the Tariffs Act violation (the importation of the prohibited goods) on 27th. 《注意:一部解析不可能》Two people, be arrested by Metropolitan Police Department flagrante delicto with a/the Narcotics Control Law violation (gain purpose possession) suspicion and pROSECUTE cOMPLETION. 《主語なし》"I am said to be deposing that I smuggled it to sell in Japan.
    《主語なし》It is both suspects of Kanagawa Pref. Atsugi-shi wife rice paddy north 3 Chome, the secondhand car export business, サリム ジャファル マハムド (27), Tokyo Met. Inagi-shi arrow Noguchi, bartenders, エドワード デニス チャンゲリ (31) that I was accused.
    《主語なし》In investigation, 2 people work the green pepper and red pepper that dried first ten days of June, and the doubt that smuggled the cocaine that I jammed into the middle by international mail from Peru.
    A/the green pepper and red pepper are a/the confiscation 61 total. 《主語なし》Inserting the cocaine that I subdivided into 10~20 grams to a/the bag the cut face such as a/the green pepper was being stopped with glue and black vinyl tape. 《主語なし》"First)" (the same customs such way in smuggling wa the whole country and it says.

    ReplyDelete
  2. Yote kuhangaika, yote maisha!

    ReplyDelete
  3. mihandarati ni nini jamani, au ndio drugs? hii biashara jamani ni hatari sana, ni bora uende gezaulole ukalime kuliko kujihusisha na hii biashara hatari.

    ReplyDelete
  4. hivi wabongo jamani tunaenda wapi?Au ndo tunapenda kuiga tu na sasa tunataka kuwaiga wanigeria kwa kila kitu?kuna wengine wamekamatwa Iran juzijuzi tuu na bosi wao ni mbongo.Haya soon hiyo passport ya kibongo itakuwa kama chawa mtu hutaki kuwa nayo jinsi utakavyo suspectiwa na kusechiwa ovyo.Tutafika tuu hamna noma wala nini....

    ReplyDelete
  5. Anon 12:56 ni kweli kabisa. huyo jamaa aliekamatwa iran, if convicted ajue ni kunyongwa tu, wairan hawana msamaha wala masihala, na he or she is lucky to have a fair trial. kazi kubwa hiyo.

    ReplyDelete
  6. yUKO MWINGINE AMEKAMATWA SEATTLE WASHINGTON STATE AKITOKEA BRAZIL TOKA LINI UKAPENYA AIRPORT ZA USA NA MZIGO VERY REAR MAN...

    ReplyDelete
  7. ピーマンなどの乾燥野菜にコカイン約790グラム(末端価格約4700万円)を詰めてペルーから密輸したとして、東京税関は27日、タンザニア国籍の男2人を関税法違反(禁制品の輸入)の疑いで東京地検に告発した。2人は麻薬取締法違反(営利目的所持)容疑で警視庁に現行犯逮捕され、起訴済み。「日本で売るために密輸した」と供述しているという
    Maana yake ni:
    Cocaine approximately 790 grams (terminal price approximately 47,000,000 Yen) stuffing to dry vegetable such as green pepper, assuming that you smuggled from Peru, as for Tokyo custom on the 27th, Customs Law violation (import of the contraband) you prosecuted 2 men of the Tanzanian nationality to Tokyo area inspection in doubt. 2 people drug control method violation (the profit-making intended possession) with suspicion flagrant delict to be arrested in the Tokyo Metropolitan Police Department, the prosecution being completed. That “you smuggled in order to sell in Japan”, you say that you have testified,
    告発されたのは神奈川県厚木市妻田北3丁目、中古車輸出業、サリム・ジャファル・マハムド(27)、東京都稲城市矢野口、バーテンダー、エドワード・デニス・チャンゲリ(31)の両容疑者。

     調べでは、2人は6月上旬、乾燥したピーマンとトウガラシを細工し、中に詰め込んだコカインをペルーから国際郵便で密輸した疑い。

     ピーマンとトウガラシは計61個押収。10~20グラムに小分けしたコカインを袋に入れ、ピーマンなどの切り口を接着剤と黒色ビニールテープでとめていた。「こうした手口での密輸は全国初」(同税関)という。
    Maana yake ni:
    As for being prosecuted Kanagawa prefecture Atsugi city wife rice field north 3 Chome, the old car export business, [sarimu] [jiyahuaru] [mahamudo] (27), city Yanoguti and the bartender the Tokyo Inagi, Edward Dennis [chiyangeri] (31) both suspects.

     With investigation, as for 2 people the earlier June, the green pepper and the red pepper which are dried the cocaine which works, stuffs in the doubt which from Peru was smuggled with the international mail.

     As for green pepper and red pepper total 61 confiscation. The cocaine which is subdivided to 10~20 gram was inserted in the sack, section such as green pepper had stopped with the adhesive and the black vinyl tape. “As for smuggling with such method the nationwide beginning” (the same custom) with you say.

    Nimetumia online tool ila inaelekea majina yao ni Edward Dennis mwenye umri wa miaka 31 na mwenzie Salim Muhamed mwenye umri wa miaka 27. Salim anafanya biashara ya magari ila mwenzie ni muuza baa.

    Nawapa pole kwa kweli. Mahangaiko mengine bwana....mmh!

    ReplyDelete
  8. this duo went blind, importing foodstuff in most countries duniani hairuhusiwi...these guys wamepeleka kesi ndani ya kesi...kwanza itakuwa ilianza by kwa nini mnaingia na matunda?...then all hell broke loose...

    ReplyDelete
  9. Hayo majina yaliyoandikwa kwa kijapani ni 1)SALIMU JAFARI MAHAMU 2) EDWARD DENIS ......

    Labda bao wamo kwenye 100 list ya JK, who knows.

    Inabidi taifa lijipange upya kwani hii biashara inachafua sana jina la TZ.

    Tatizo watu wanapenda utajiri wa haraka haraka.

    ReplyDelete
  10. Michuzi ngoja nikuoneshe kuwa mimi kijepu ni rechebo kwa kukutafsiria hiyo link uliyotoa:


    =========================

    Watanzania Wakamatwa Wakiingiza kiharamu Coccaine iliyokuwa imefichwa kwenye Pilipili Hoho

    2007 August 27th


    Watu wawili wenye uraia wa Tanzania wameshitakiwa kwa kushukiwa kuhusika na kuingiza Tokyo cocaine yenye uzito upatao gram 790 grams (thamani yake yakadiriwa yen 47,000,000) iliyokuwa imefichwa kwenye mboga kavu kama vile pilipili hoho kutokea Peru siku ya tarehe 27, ikiwa na kinyume cha sheria za forodha.

    Watu hao wawili walikamatwa na polisi wa Tokyo Mteropolitani kwa kukiuka sheria ya madawa ya kulevya kwa nia ya kujipatia faida. Upande wa mashitaka umekamilisha mashitaka kwa kuonyesha kuwa watu hao waliingiza madawa hayo kwa nia ya kuyauza Japan.

    Watuhumiwa ambao walioshitakiwa huko kwenye kitongoji cha Kanagawa Atsugi city, barabara ya 3 kaskazinini ni mfanya biashara wa kuuza nje magari yaliyotumika na mkazi wa Yanoguti, bwana Salim Jafari Mahamdu (27), na muuza baa wa Tokyo Inagi, bwana Edward Dennis Chiyasogeri (31).

    Kulingana na upelelezi, watu hao wawili waliingiza nchini kutokea Peru pilipili hohoho za kijani na pipipili hoho nyekungu zilizokaushwa huku zikiwa na cocaine ndani yake na kufungwa kama vifurushi vya barua za kimataifa kinyume cha sheria.

    Jumla ya pilipili zote za kijani na nyekundu zilizokamatwa ni 61. Cocaine iliyokuwa imefungwa kwenye vifuko vyenye uzito kati ya gram 10 hadi 20 vilikuwa vimewekwa ndani ya pilipili hizo na kufungwa kwa gundi na cell tape nyeusi.

    ReplyDelete
  11. Ila hawa jamaa wangepasua na huo mzigo du?Bongo pasingekalika ila naamini kuna wabongo everyday wanahangaika na wanapasua na mizigo.

    ReplyDelete
  12. Ni katika utafutaji, bahati mbaya haikutick kama walivyotegemea. Pole yao

    Na wengine jamani kuweni makini, chunguzeni kwanza na muwe mnaangalia na upepo,au siyo washkaji?

    ReplyDelete
  13. sumu ya teja segerea.Haya vijana mmeamua kuwa wazungu wa powder kutaka kuleta mahummer bongo wacha wajapani wazae na nyinyi huko.

    Tupige kazi za halali yote yanawezekana kwenye nia.

    ReplyDelete
  14. Halafu mnawakanda wabeba box si bora wao ndio maana mimi siwakandii washikaji maana wengine tumetoka huko huko na kutengeneza maisha bora bora bongo
    mungu wabariki wabeba box

    ReplyDelete
  15. Kuna mtu anajiita Ndaki humu,jamani nani ana habari za akina Steve Ndaki(Royal sumai coach,Dar arusha)Mi niko ugaibuni long time ila walikua washikaji zangu sana.

    ReplyDelete
  16. Anony august 30,2007 1:33:00PM EAT
    Mi ndio Ndaki nafikiri majina yamefana tu mtu wangu.
    SISI HOME UKWELI NA SERIUOS HATUNA HATA BAISKELI nafikiri majina tu yamefanana.

    MIMI NAITWA NDAKI ukifika TANGA naitwa (LIPU)ukifika Mwanza naitwa (ISHI) ukifika MUSOMA(Osaka) KIGAMBONI DAR(Askofu) Sinza(Mwanare)

    ENE WEI TUTAFIKA TU

    ReplyDelete
  17. Ondokeni na uchawi wenu hapa. Watu tunatoka katika "background" tofauti, kwahiyo tutatafuta riziki zetu katika njia tofauti vilevile.

    Masela waliokwisha na ubuyu nawapa pole, na masela waliotusua tumshukuru mola na libeneke lazima liendelee. Ingawa tuu kwa wale masela wenzangu mnaopeleka ubuyu afrika, siwaungi mkono. Kwa wale mnaopeleka ughaibuni, basi poa tuu.
    Ukizingatia kwamba hata kama tusingekuwa tunabeba ubuyu kuleta ughaibuni, basi tungekuwa mitaani bongo na jela zingetuhusu vilevile.

    Bora jela Japan kuliko jela bongo.

    ALUTA KONTINYUA

    ReplyDelete
  18. Pole washkaji.

    Jamaa unayejiita Ndaki, ishi, lipu, osaka n.k. Jina lako kamili ni Edwin Ndaki uongo, unatafutwa Dar ukalipe mali za watu wacha uhuni bw. mdogo!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...