kamishna mkuu wa magereza afande nanyaro akiwa na watoto wake wakiaga mwili wa mke wake, marehemu theresia nanyaro, aliyeaga dunia ijumaa ilopita baada ya kusumbuliwa na tumbo tokea agosti 13 alipolazwa muhimbili na kufanyiwa upasuaji. mola ailaze pema roho ya marehemu- amina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Pole kamishna na familia yako. Mola akujalieni faraja mnayohitaji.
    Roho ya Marehemu,pamoja na marehemu wote wapumzike kwa Amani,Amina.

    ReplyDelete
  2. Masikini huyu mama juzi juzi tu alikuwa kwenye picha hapa ya kuapishwa mume wake RIP mama wa watu mungu hawape nguvu familia

    ReplyDelete
  3. Pole sana afande Nanyaro!
    Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
    Amen

    ReplyDelete
  4. Poleni sana ..MwenyeziMungu atawapa subira..sisi wote tuko njia moja yeye ametangulia.

    ReplyDelete
  5. Mungu amlaze marehemu mahala pema peponi. Tunaiweka familia ya marehemu kwenye sala, Mungu naomba uwape nguvu wakati huu mgumu, bwana awe nanyi milele.

    ReplyDelete
  6. Ooooh, Poleni sana, Simfahamu huyu Mama ila nilimuona hapa kwa Michuzi, Imenisikitisha sana.
    Mungu ipatie faraja na amani hii familia.
    Amen

    ReplyDelete
  7. poor kids!
    kifo!! basi tu. Michu ebu tuwekee ile picha siku ya kuapishwa huyu kamishna. poleni sana.RIP

    ReplyDelete
  8. Maskini, picha ya huyu mama marehemu na familia yake wakimpa company mzee wakati wa kuapishwa ipo katika KUMBUKUMBU za blog ya Michuzi ya tarehe 23.6.2007

    ReplyDelete
  9. ahsante anon wa aug 28,9:03:00 nimekwenda kwenye kumbu kumbu picha ya mama nimeiona,yarabi mola mweke mama mahali pema peponi,amin.

    ReplyDelete
  10. I send my condolences to the Nanyaro family.She was such a great mom/wife.she loved everyone so much was so caring losing her like this was not the way.I pray the family is strong and remember all the memories they shared.I knew her and it hurts me to see her go away.Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...