Home
Unlabelled
buriani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pole kamishna na familia yako. Mola akujalieni faraja mnayohitaji.
ReplyDeleteRoho ya Marehemu,pamoja na marehemu wote wapumzike kwa Amani,Amina.
Masikini huyu mama juzi juzi tu alikuwa kwenye picha hapa ya kuapishwa mume wake RIP mama wa watu mungu hawape nguvu familia
ReplyDeletePole sana afande Nanyaro!
ReplyDeleteBwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Amen
Poleni sana ..MwenyeziMungu atawapa subira..sisi wote tuko njia moja yeye ametangulia.
ReplyDeleteMungu amlaze marehemu mahala pema peponi. Tunaiweka familia ya marehemu kwenye sala, Mungu naomba uwape nguvu wakati huu mgumu, bwana awe nanyi milele.
ReplyDeleteOoooh, Poleni sana, Simfahamu huyu Mama ila nilimuona hapa kwa Michuzi, Imenisikitisha sana.
ReplyDeleteMungu ipatie faraja na amani hii familia.
Amen
poor kids!
ReplyDeletekifo!! basi tu. Michu ebu tuwekee ile picha siku ya kuapishwa huyu kamishna. poleni sana.RIP
Maskini, picha ya huyu mama marehemu na familia yake wakimpa company mzee wakati wa kuapishwa ipo katika KUMBUKUMBU za blog ya Michuzi ya tarehe 23.6.2007
ReplyDeleteahsante anon wa aug 28,9:03:00 nimekwenda kwenye kumbu kumbu picha ya mama nimeiona,yarabi mola mweke mama mahali pema peponi,amin.
ReplyDeleteI send my condolences to the Nanyaro family.She was such a great mom/wife.she loved everyone so much was so caring losing her like this was not the way.I pray the family is strong and remember all the memories they shared.I knew her and it hurts me to see her go away.Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi
ReplyDelete