baba wa taifa akiwa anapiga stori na mdau mwandamizi freddy macha ambaye leo nimepata mshtuko wa furaha kukuta kumbe naye ana globu yake. kumtembelea bofya hapa na pia kwenye tovuti yake bofya hapa
kwa kweli nimehemewa kugundua globu ya gwiji huyu wa lugha, muziki na utamaduni. tangia niko kinda nimekuwa nikisoma maandiko yake kwenye sunday news na sasa kwenye guardian. ni mmoja kati ya walionihamasisha kuivamia hi fani ya uandishi. na kama hiyo haitoshi mdogo wake, ndesanjo macha, ndiye aliyeniambukiza hili gonjwa la globu...
mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni; freddy na ndesanjo macha ni kioo cha uandishi bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kaka Michuzi nadhani kidole kiliteleza wakati "unabonyeza kibara."
    Nadhani kwenye maelezo haya ulitaka kuandika BLOG na sio GLOB kama ilivyojitokeza mara 2.
    Kama sivyo basi nisamehe bure!
    Hata mimi alinihamasisha sana kupenda na kuingia kwenye maswala ya pafomansi aat.

    ReplyDelete
  2. Hivyo hivyo hakika wanyonge wanyongeni haki yao wapeni. These talents funika bovu. Globu ya Freddy ni darasa tosha kama ilivyo wavuti wake/yake.

    ReplyDelete
  3. Sorry to ask you this Ndugu Michuzi, are you a journalist or a cameraman? because sometimes, I get confused by people saying you are more cameraman than a "professional journalist". I'd appreciate your kindly answer.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...