Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kama CCM wenyewe kwa wenyewe tunachezeana mchezo mchafu sembuse wapinzani! Kumbe wanavyolalamika wapinzani kupigwa bao kila unapokuja uchaguzi ni ukweli?
    Ama kweli 'nambari one ni CCM'!!!

    ReplyDelete
  2. acha nyodo maalim,these talks are for the good of all watanzania,hususani wapemba wenzio,unaringa nini sasa?au kwa vile wewe unakula pensheni nono,wasota wenzio hao!

    ReplyDelete
  3. Demokrasia katika nchi hii mpaka wale wazee watoke, damu mpya ziingie hivihivi tu hakuna kitu. ccm imekubuhu kwa wizi ndani kwa ndani, sembuse ninyi wapinzani mtaibiwa mpaka nguo na hata roho inapobidi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...