vijana wakifurahia uzinduzi wa kampeni ya kushanglia taifa staaz leo uwanja wa karume

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ndugu wadau wenzangu,
    nitapataje hizi tisheti za Taifa staz? hebu kama kuna mdau hapa unyamwezini anieleze pa kuzipata,
    hivi utarushwa hewani (tv)? Kaka Michuzi turekodie halafu upost kwenye blogu japo dakika kumi natano hivi tu tuwaone vijana wetu.

    unajua nilionana na lile kundi la pili la timu yetu pale eapoti ya Schipol wakiwa njiani kwenda Udenimaki nami nikiwa narudi unyamwezini, vijana waliniahidi kipigo cha mbwa mwizi kwa wana frelimo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...