Home
Unlabelled
neshno
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
DU zuri ile mbaya
ReplyDeleteUwanja Umetulia, Lakini Mbona Picha Yenyewe Umeipiga Kama Vile Mtu Anayeoga Nje!!
ReplyDeleteIzz Wa
huo ni umeme wa tanesko? au kuna jenereta la kujitegemea limo humo. kwa kawaida tusishangae siku ya gemu umeme ukikatika maana hapo uwanjani ni temeke tu kama ilivyo temeke kwa umeme.
ReplyDeleteit look very nice,we need to keep it up
ReplyDeleteSasa Michuzi hizo taa zinazowaka ni za ndani ya uwanja ama nje ?
ReplyDeleteNINAAMINI SUALA LA UMEME LIMESHUGHULIKWA KIKAMILIFU NA SERIKALI,HUTATAKI KUSIKIA MAMBO YA MGAO TENA,UKIWA NA KIWANJA CHA KISASA KAMA HICHO NI AIBU KUWA NA MGAO WA UMEME.
ReplyDeleteUwanja ni mzuri sana ila nina wasi wasi kutumia uwanja huo ktk mechi na Msumbiji bila wachezaji wetu kuutumia kabla maana wote tutakuwa wageni siku hiyo na ukizingatia kuwa wenzetu wana professionals wanaocheza ulaya bila shaka watakuwa wamezoea kucheza katika viwanja kama hicho. Pia sijui ni wachezaji wangapi wa timu yetu wamewahi kucheza kwa kutumia taa usiku. Hapa ni kudra za Mungu tu!!!
ReplyDeleteTHIS IS BEAUTIFUL.....nakumbuka mara ya mwisho kwenda uwanja wa taifa ni siku nyingi sana kama miaka 15 nyuma tena wakati wa michezo ya shule.
ReplyDeleteHAPPY BELATED ISSA MICHUZI;I heard your b'day ilikua jana.....wishing you all the best,tutumie basi snap za b'day yako bathiiii
Asente bro michuzi kwa kutupa picha nzuri,ila kwa kweli ni aibu kubwa kufungua uwanja kama huo kwa mechi na uganda tena nasikia yoso wanaokuja hapa bongo.tuliambia ooh real madridi mara oh sijui timu gani mara oh.ndhani tuwe na mipango mizuri kwa mambo ya kitaifa.uwanja ungefunguliwa kwa mechi kali kabisa kati ya taifa staa na nchi kali kisoka au hata klabu zetu hapa wekundu na jangwani kwa kikombe maalumu ingependeza sana tena sana.lakini ndo hivyo tena.ila kiingilio kiwe fair.ili na uwanja ujae jamani siyo tamaa na pesa tu bila kuangalia hali halisi ya watanzania.tafadhali tff.
ReplyDeleteKwa NYUMA au kwa NJE?
ReplyDeleteWOOOW!!! wanja limekolea kama Kimbley Stadium ya huko ukerewe..
ReplyDeleteushauri kwetu sote tuutunze vyema ufanyiwe matengenezo na watu waache uharibifu mara kuiba balbu mara kunyofoa kiti hata ukiuza havisaidii.tunzeni mali ya taifa
Hili wanja na liwe mwanzo wa kufuata standards katika kila kitu tunachofanya Tanzania. Lakini sidhani kuwa itakuwa hivyo kwani tumeshaanza kufanya vitu kiswahili hata humo ndani. Hebu ona;
ReplyDelete1. Wanja ingebidi lifunguliwe rasmi na mechi na timu kubwa ya ulaya. Hii ingekuwa mechi ya kirafiki na ingetupa fursa ya kulijua hilo wanja vizuri.
2. Badala yake mechi ya kwanza ni ya Uganda Team B, ambao wanakuja kujeruhi wachezaji wetu wa Star Team A ili Uganda ipate urahisi wa kuenda Ghana. hii siyo mechi ya kirafiki kwangu mimi.
3. Mechi hiyo ya kwanza watu watakaa free-seating. Imagine watu 60,000 unawaambia wakae wanavyopenda!
4. Wanja linaendeshwa na nani? TFF? Wana ujuzi gani wa kufanya biashara na kitegauchumi kama hili wanja?