wanja letu la neshno stediumu usiku huu kwa nyuma...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. DU zuri ile mbaya

    ReplyDelete
  2. Uwanja Umetulia, Lakini Mbona Picha Yenyewe Umeipiga Kama Vile Mtu Anayeoga Nje!!

    Izz Wa

    ReplyDelete
  3. huo ni umeme wa tanesko? au kuna jenereta la kujitegemea limo humo. kwa kawaida tusishangae siku ya gemu umeme ukikatika maana hapo uwanjani ni temeke tu kama ilivyo temeke kwa umeme.

    ReplyDelete
  4. it look very nice,we need to keep it up

    ReplyDelete
  5. Sasa Michuzi hizo taa zinazowaka ni za ndani ya uwanja ama nje ?

    ReplyDelete
  6. NINAAMINI SUALA LA UMEME LIMESHUGHULIKWA KIKAMILIFU NA SERIKALI,HUTATAKI KUSIKIA MAMBO YA MGAO TENA,UKIWA NA KIWANJA CHA KISASA KAMA HICHO NI AIBU KUWA NA MGAO WA UMEME.

    ReplyDelete
  7. Uwanja ni mzuri sana ila nina wasi wasi kutumia uwanja huo ktk mechi na Msumbiji bila wachezaji wetu kuutumia kabla maana wote tutakuwa wageni siku hiyo na ukizingatia kuwa wenzetu wana professionals wanaocheza ulaya bila shaka watakuwa wamezoea kucheza katika viwanja kama hicho. Pia sijui ni wachezaji wangapi wa timu yetu wamewahi kucheza kwa kutumia taa usiku. Hapa ni kudra za Mungu tu!!!

    ReplyDelete
  8. THIS IS BEAUTIFUL.....nakumbuka mara ya mwisho kwenda uwanja wa taifa ni siku nyingi sana kama miaka 15 nyuma tena wakati wa michezo ya shule.

    HAPPY BELATED ISSA MICHUZI;I heard your b'day ilikua jana.....wishing you all the best,tutumie basi snap za b'day yako bathiiii

    ReplyDelete
  9. Asente bro michuzi kwa kutupa picha nzuri,ila kwa kweli ni aibu kubwa kufungua uwanja kama huo kwa mechi na uganda tena nasikia yoso wanaokuja hapa bongo.tuliambia ooh real madridi mara oh sijui timu gani mara oh.ndhani tuwe na mipango mizuri kwa mambo ya kitaifa.uwanja ungefunguliwa kwa mechi kali kabisa kati ya taifa staa na nchi kali kisoka au hata klabu zetu hapa wekundu na jangwani kwa kikombe maalumu ingependeza sana tena sana.lakini ndo hivyo tena.ila kiingilio kiwe fair.ili na uwanja ujae jamani siyo tamaa na pesa tu bila kuangalia hali halisi ya watanzania.tafadhali tff.

    ReplyDelete
  10. Kwa NYUMA au kwa NJE?

    ReplyDelete
  11. WOOOW!!! wanja limekolea kama Kimbley Stadium ya huko ukerewe..
    ushauri kwetu sote tuutunze vyema ufanyiwe matengenezo na watu waache uharibifu mara kuiba balbu mara kunyofoa kiti hata ukiuza havisaidii.tunzeni mali ya taifa

    ReplyDelete
  12. Hili wanja na liwe mwanzo wa kufuata standards katika kila kitu tunachofanya Tanzania. Lakini sidhani kuwa itakuwa hivyo kwani tumeshaanza kufanya vitu kiswahili hata humo ndani. Hebu ona;

    1. Wanja ingebidi lifunguliwe rasmi na mechi na timu kubwa ya ulaya. Hii ingekuwa mechi ya kirafiki na ingetupa fursa ya kulijua hilo wanja vizuri.

    2. Badala yake mechi ya kwanza ni ya Uganda Team B, ambao wanakuja kujeruhi wachezaji wetu wa Star Team A ili Uganda ipate urahisi wa kuenda Ghana. hii siyo mechi ya kirafiki kwangu mimi.

    3. Mechi hiyo ya kwanza watu watakaa free-seating. Imagine watu 60,000 unawaambia wakae wanavyopenda!

    4. Wanja linaendeshwa na nani? TFF? Wana ujuzi gani wa kufanya biashara na kitegauchumi kama hili wanja?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...