
RATIBA YA BASH LA UBWETE DC
IJUMAA 8/31/07
AT MIRAGE HALL-BONGO NIGHT
MUZIKI-BONGO FLAVA-KUANZA 3 USIKU-RATIBA YA SHOWS KAMA IFUTAVYO
5:00 USIKU-THA SWAHILI KUTOKA DC
5:30 USIKU-GWAI KUTOKA MICHIGAN
6:00 USIKU YOUNG DUTCH KUTOKA DC
6:30 USIKU-DNA KUTOKA DETROIT
7:00 USIKU-SI MATANI KUTOKA COLOMBUS
7:30 USIKU-BALOZI DOLLAH KUTOKA NEW YORK
8:00 USIKU-RALH P KUTOKA HOUSTON
8:30 USIKU MPAKA 11:00 ASUBUHI-BONGO FLAVA
MUZIKI-BONGO FLAVA-KUANZA 3 USIKU-RATIBA YA SHOWS KAMA IFUTAVYO
5:00 USIKU-THA SWAHILI KUTOKA DC
5:30 USIKU-GWAI KUTOKA MICHIGAN
6:00 USIKU YOUNG DUTCH KUTOKA DC
6:30 USIKU-DNA KUTOKA DETROIT
7:00 USIKU-SI MATANI KUTOKA COLOMBUS
7:30 USIKU-BALOZI DOLLAH KUTOKA NEW YORK
8:00 USIKU-RALH P KUTOKA HOUSTON
8:30 USIKU MPAKA 11:00 ASUBUHI-BONGO FLAVA
JUMAMOSI 9/1/07
8:00 MCHANA NYAMA CHOMA AT MEADOWBROOK PARK
4:30 JIONI MECHI MPIRA WA KIKAPU-PAZI V/S VIJANA
3:00-USIKU/11:00 ASUBUHI AT MIRAGE HALL-MUZIKI HIP HOP/ RAGGA/BONGO FLAVA/KWAITO/BOLINGO
JUMAPILI 9/2/07
8:00 MCHANA AT MEADOWBROOK PARK-NYAMA CHOMA
4:30 JIONI-MPIRA WA MIGUU-SIMBA V/S YANGA
3:00 USIKU-11:00 AT MIRAGE HALL ASUBUHI- MUZIKI OLDSKOOL
DJS-JOE CAT DADDY(93.9 FM WKYS)-KAY YOUNG BLOOD(SAFARI CLUB)-LUKE THE MIX MASTER(SAFARI CLUB)-BONNY LUV-TANZANIA(88.4 CLOUDS FM)
4 more Visit www.wabongodclabordaybash.com
One more time for DC...def will be there....Bwii kwa wingi!!!
ReplyDeletenyie watoto hicho ndo kiliwapeleka huko ulaya?someni acheni mambo ya starehe,ebo!
ReplyDeleteNa haya masaa yenu mmeyawekaje? Saa nane mchana kisha inafuatiwa na saa nne na nusu jioni? Hii sasa ni swanglish mbaya.
ReplyDeleteJaribuni kuweka mida yenu katika mfumo mmoja ili tusikose tukio (kama tutaungana nanyi)
anonymous, Shule na Watanzaia wa DC ni sawa na kidonda na chuvi.
ReplyDeleteDC two things, kuvaa kama wamezaliwa Hallem, au kufanya kazi mbili kama wanalisha taifa zima la Tanzania.
we fala unaesema ndiyo kilichotuleta huku , kazi na dawa kama huko bongo mnajirusha kuna ubaya gani tukijirusha,vile vile mind ur biz kama una ndugu huku mwambie direct kama huna kula kona.
ReplyDeletewewe anonymous wa August 30, 2007 6:54:00 AM EAT ndio falaa mkubwa sana sana kwanza ratiba yenye aina mpangilio wa masaa na pia kama una kazi au kusoma uwezi kuwa na muda wasiku tatu kuanzia asubuhi mpaka kesho yake asubuhi hata kama baba yako ndio tajiri uwezi kupoteza siku tatu kwa mambo haya kama ni siku mooja ndio kila mtu hataelewa lakini sio asubuhi to asubuhi/ labda unambia kuwa nyia ndio kina wazungu wa kiwhite na ndio nyia mnaotuaribia jina nchi yetu sasa wewe kama una mke au mtoto au unataka maendeleo leo hii siku tatu za nini ? ndio una maanisha kuwa after five or ten yrs mnatengemea kuwa viongozi au kuwa mameneja wa makampuni bongo no way....... sitaki.... hiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeletewe anonymous wa 10;42 august30,kenge sana kama jamaa alivyokuambia hayakuhusu chagua bega au kula kona watu wanakula raha vile vile, we piga kelee ukichoka kalale.
ReplyDeletewewe Anoni wa hapo juu hujui maisha ya ulaya hata kidogo. Ni kweli huku ughaibuni watu wamekuja kwa malengo muhimu kama shule, kufanya kazi na wengine wanaishi kama watu wa kawaida.Kumbuka usemi unao sema kuwa " when you are in Rome do as the Romans do". Hapa USA Labor day huwa inakuwa Jumatatu ya kwanza ya Mwezi wa September na Office karibu zote na viwanda vyote huwa vimefungwa na shule nyingi zinakuwa bado hazijafunguliwa au zimefunguliwa lakini walimu wote wanakwenda holiday na maktaba zinakuwa zimefungwa, kwa kifupi kuanzia Ijumaa mpaka jumatatu hakuna chochote kinachofanyika,labda kwa sehemu za starehe tu. Sasa basi natumaini utaona kwa nini tuna siku tatu za kujirusha na baada ya hapo tuna anza Fall season au Vuli kwa kiswahili. Winter ipo karibu sana ukiona hivyo. Hivyo hicho kina kuwa ndiyo kipindi cha mwisho cha furaha hapa USA si sawa na bongo ambako kila wakati ni Shangwe. Natumaini nimekuelewesha vizuri.
ReplyDeleteNdaga vifo-Nyakyusa
Nyakyusa well said! Vifo? fijo? au sijuhi kinyakyusa
ReplyDelete