Home
Unlabelled
a-taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
We Michuzi,
ReplyDeletehapa sio Kigogo round about?
Toka lini Arusha kuna minazi? ningeona Acacia tree ningekubali lakini sio mnazi.
leo wadanganye wengine sio mimi.
hapa sio A-Tauni, hapo ni Kigogo-Dar njia panda.
./
Michuzi hiyo ni A-Town sehemu gani? Naona imekaa kama round-about ya Kigogo vile.Naona Arusha kuna minazi mingi sana siku hizi!
ReplyDeleteHii roundabout ni ipi tena jamani?Maani nimezaliwa A.City lakini hapa mmenipiga doba.
ReplyDeleteMICHUZI HAPO SIO ARUSHA... HAPO NI DAR ES SALAAM... KAWAWA ROAD ktk ROUND ABOUT ya KIGOGO enzi zile kulikuwa na sanamu ya Twiga pale...Si waona kibao chini kushoto... Ha ha haaa Arusha hamna sehemu kama hii kwanza nilidhani ROUND ABOUT YA IMPALA lkn sioo... please verify Michuzi...
ReplyDeleteJAMANI MSIMBISHIE KAKA MICHUZI UNAWEZA KUKUTA HIYO MINAZI NI YA PLASTIC WAMEICHIMBIA KWA AJILI BILL CLITON AKIJA AONE TUMINAZI.
ReplyDeleteSI UNAKUMBUKA BILL ALIPOFIKA FESTI TAIMU ARUSHA BARABARA ZILIPIGWA DEKI AU MMESAHAU
ya leo kali misupu,yaani wazee wazima unataka kutufunga kamba mchana mchana,mhhh nimekushtukia.hapa ni kigogo roungabout mjomba,tuombe radhi mshikaji kabla hatuja kunanihii.
ReplyDeleteKwakweli hata mimi kakamichu na kukatalia hapo si arusha kwa sababu ya minaza na arusha hakuna barabara yenye double lane, ila sibishi kuwa roundabouts za arusha zimenakshiwa na city clocks ikiwa ndio ilipelekea kutuwekea picha kama hii, wadanyanyika tuko makini!
ReplyDeleteNimefurahi kuona wabongo wamejifunza kuona vilivyoko kwenye background maana ni watu maalum wenye kuweza kuchambua picha kuona kila detail iliyomo. hongera uliyeona minazi maana wengi huona kilichokwenye focus ya mpiga picha tu watu kama nyie mnaweza kabisa kutumika katika picture forensics.
ReplyDeleteHiyo picha ni A-Town pale mnara wa saa, karibia na shule ya msingi ya Uhuru. Ukienda mbele Sheikh Amri Abeidi. ACheni Kubisha
ReplyDeleteDuh, Michuzi noma, kauchuna kama vile hajakosea.
ReplyDeleteHaya bwana misupu, jambo kimoyo moyo unajua kabisa umechemsha hapa, waombe radhi wadau mshkaji, Mimi aah, sijui lolote, Arusha sijawahi fika hivyo nilikubali kama ulivyopendekeza, lakini kwa maoni ya wadau wengine, mh!
Huu sasa mzozo michu!
Mmmmmh!!!!!Nafunga mjadala. Yani michu leo umenipata kwelikweli.Yani umenipa changa la macho.Mimi na ujanja wangu wote nshaamini kama hapo ni A town.Nimeoka A town miezi 6 ilopita sijui nilikuw nawaza nini na kuamini kama hapo ni A town.Ila Anon wa kwanza katufumbua macho.Am sure kama yeye angeingia mkenge basi ungevunja mbavu kwa kusoma mlolongo wa maoni ya kuchemsha.Wadau, Geografia hamkuibia nini mlipokuwa sekondary.
ReplyDeleteBig up misupu
Majita
Shida yenu mnadhania minazi inakua tu Dar na Pemba, mkae mkijua kuwa hata mikoani minazi pia inakua, inaweza kuchuka miaka lakini pia inakua, Arusha minazi ipo moja moja, na inategemea, sometimes si minazi inayozaa bali ni miti tu, kwa hiyo hiyo inawezekana kabisa, na saa nyingine miti mingine(mfano wa minazi) inapandwa kwa urembo jamani eg Pine trees, mh kwa kukosoa hamjambo, fanyeni research kwanza!!!!
ReplyDeleteArusha kuna mnazi mmoja tu, tena upo maeneo ya Mianzini kama sikosei. Sio kwamba hawapendi iwepo, ila nafikiri hali ya hewa ya Arusha hairuhusu (sina uhakika msije nimeza bureee, sijasomea kilimo ebo!)
ReplyDeletePiga ua, hii sio Arusha nitakataa mpaka kesho!