Home
Unlabelled
akudo sound
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
miezi kama 2 hivi nilikuwa hapo Dar kuna nyimbo moja niliacha inatikisa sana jiji kamasikosei kinaitwa HAKUNA TENA MAPENZI je bwana Issah wamekipiga hao Akudo na je wamesha toa albamu yenye wimbo huo?
ReplyDeleteMDAU
MICHUZI TUDOKEZE BASI NINI KINAENDELEA KWA HUYU BWANA ....AMA KAMA KUNA MDAU ANACHOCHOTE TUDONDOKEE BASI JAMANI......
ReplyDeleteMDAU JISOMEE NA DONDOSHA COMENTI NINA SHAUKU..!!!!
GSB yamtosa Jack Pemba...!!!
Dah sasa eeh unaintroduce kamradi pale minazi mirefu hujala wala kula taayari kibarua kinaota tumajani..SAD SHIT.
na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya kusaka na kuendeleza vipaji ya Global Scouting Bureau, imemteua Kanali mstaafu, Idd Omari Kipingu, kuwa mwakilishi wake Tanzania, kuchukua nafasi ya Jackson ‘Jack’ Pemba, imefahamika.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa hivi karibuni na kampuni hiyo ya Uingereza, Pemba ameenguliwa katika nafasi ya umakamu wa rais wa kampuni hiyo kutokana na kushindwa kutimiza baadhi ya majukumu na makosa kazini.
Makosa anayodaiwa kuyafanya Pemba ambaye kwa Tanzania amekuwa maarufu ni kughushi nyaraka mbalimbali za kampuni hiyo huku akiwa ameenguliwa kazini. Anadaiwa kusaini nyaraka hizo Mei, mwaka huu.
Kipingu alipozungumza na mwandishi wa habari hizi, alikiri kufanya mazungumzo na GSB lakini hakutaka kuingia kwa undani juu ya kuchukua nafasi hiyo ya Pemba.
“Bwana kwa sasa niko huku porini nafanya shughuli za ujenzi wa shule. Keshokutwa nitakuwa huko Dar es Salaam na kuzungumza zaidi nawe mwandishi,” alisema Kipingu aliyeanza kushirikiana na Pemba.
Kutokana na kashfa hiyo ya kugushi, Pemba alihitajika kwenda kujitakasa Marekani, lakini ameshindwa kufanya hivyo GSB imeamua kumfuta kazi moja kwa moja.
GSB imesema, haitatambua makubaliano au mkataba wowote atakaoingia Pemba anayedaiwa kushirikiana na Mtanzania mwingine ambaye kwa sasa jina lake tunalihifadhi.
GSB imesema kwamba Pemba anatakiwa awasilishe ripoti zote za fedha na nyaraka nyingine kabla ya Agosti 30, mwaka huu.
Wakati Pemba hakupatikana tangu wiki iliyopita, GSB imesema kwamba ina mpango wa kuzidi kuwekeza Tanzania kutokana na kuvutiwa na hotuba nzuri ya Rais Kikwete kwamba wadau mbalimbali wanahitajika kufanya hivyo Tanzania.
Habari za asubuhi.
ReplyDeleteAsante kwa habari za Mhe. Mudhihir. Nasikitishwa na maoni yanayomtakia mabaya.
tuache hayo. Mungu ndo anajua.
Naomba habari kuhusu mauaji ya majambazi wa Kenya kule mkoani Kilimanjaro. Kwani nimewachukia sana wale watangazaji wa BBC idhaa ya Kiswahili hasa taarifa ya asubuhi kwa kuchochea kama vile hawa jamaa hawakuwa majambazi wameonewa. Pongezi nyingi kwa Kamishna wa Upelelezi Kenya kwa kutoa ufafanuzi kuwa jamaa wanatafutwa sana kule Kenya. Naomba mahojiano ya BBC na Kamishna ili jamaa wa ughaibuni wajue nini kiliendelea huku TZ
SASA KAMA WANAPARTY JUMAPILI, JUMATATU KAZINI INAKUWAJE?
ReplyDeletePongezi nyingi sana zimfikie yeye aliyeamua kufanya kila jumapili iwe ni siku ya Bonanza ya familia hapo Msasani Beach klabu.Maana kuna ongezeko kubwa sana la mahoteli ya bei mbaya hapo jijini,ufukoni, na wale wasikuwa na kipato kikubwa na familia zao watakosa starehe kama hizi tusipokuwa makini!!
ReplyDeleteKeep it up Msasani Beach club!!!