Wazee wa TanzAtl FC ""Mdobwedeo FC"" wanapenda kukupa hongera kwa kutimiza miaka miwili ya Blog yako.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. MDEBWEDO FC , 6-0 VS KENYA . 3-2 VS DC. RECENTLY 6-4 VS HOUSTON .

    ReplyDelete
  2. We Mdau hapo juu inaonekana wazi ni mtu wa Houston. Kwa taarifa yako tumeshinda mechi nyingi kuliko tulizopoteza summer hii. Na hasira zetu tutazimalizia kwa nyie Houston hiyo Thanks giving holiday. Hiyo ndio itakua fundisho kwa waosha vinywa. Kwa ufupi hakuna timu ya Wabongo wa ughaibuni wenye jeuri ya kutufunga, si H-Town, Kansas, Seattle, Boston or wherever!! Na hata hao Kilimanjaro Fc ni cha mtoto wacheze hicho cha ndimu huko huko Norway wakija huku si ni kibano tu!! ONYO!!

    ReplyDelete
  3. hahahaa
    mbaazi ukikosa maua husingizia jua

    ReplyDelete
  4. Ofcourse, jina lenyewe mlilochagua ni mdebwedeo/mdebwedo, what else do you expect si mtaendelea kudebweda tu! Acheni kutumia mataptap eti kwavile yanatengenezwa kwenye viwanda vya wazungu!! Kaeni chini mtafute jina lenye maana, sasa nyinyi mkiwa mdebwedo kina masanja wataitwa nani?!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...