
Vijana wa FC Kilimanjaro tunakupa hongeraaaa kwa kutimiza miaka 2,Mungu azidi kukupa umri mrefu tuweze kupata nasaha na busara kutoka kwako pamoja na habari muhimu za nyumbani na duniani kwa ujumla.Tunapatikana www.kilimanjaroclub.com nchini Sweden.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
aminia wabongo wa sweden hiko kikosi kweli cha mpira nawaona jamil na hamis walikua wachezaji wa moro united
ReplyDelete