mfadhili mstaafu wa simba azim dewji akiwa na mh. ndassa mbunge wa sumve (shoto) na mh. adam kighoima malima mbunge wa mkuranga wakila stori jana neshno

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. sheikh adam asalaam aleykum ndugu yangu, nimekuona

    ReplyDelete
  2. WADAU NAOMBENI MAONI YENU JUU YA HIYO PICHA.

    NIKISEMA MIMI NITAAMBIWA MBAGUZI.
    HIVI HUYO MH.AZIM DEWJI YEYE KUTOVAA NGUO AU UTAMBULISHO WOWOTE WA BENDERA YA TANZANIA MAANA YAKE NINI?

    JE HANA UWEZO WA KUNUNUA HIVYO VITU?

    JE HAKUWA NA TAARIFA KWAMBA KUNA MECHI?
    UZALENDO WAKE UKO WAPI?(NDIYO YALE YALE TULIYOKUWA TUNAJADILI LEO)

    NINGEFURAHI KAKA MISOUP UNGEPATA MUDA UMUULIZE ATOE MAJIBU YA HAYA MASWALI ITAKUWA FARAJA SANA.

    MIMI KAMA SIKOSEI HUYO BWANA ANA URAIA WA TANZANIA.AU KAMA HANA URAI WA TANZANIA NINA MASHAKA NA MAPENZI YAKE KWA TIMU YETU YA TAIFA.

    CHONDE CHONDE KAKA MICHU.NAJUA MTUNDIKO WANGU UNAWEZA KUWA MWIBA NA HIVYO UKAUMINYA POA TU HATA WEWE UKISOMA MESEJI DELIVERY!

    SIJAFURAHISHWA NA KITENDO CHAKE YAANI HATA BENDERA ILE YA MIA TANO MH. KAKATAA KUNUNUA?

    LAZIMA ATAKUWA NA AGENDA BINAFSI.

    WADAU NI HAYO TU.ENE WEI TUTAFIKA TU.

    NAOMBA KUWASILISHA KWA UCHUNGU.

    MICHU USIBANE MAONI YANGU SIJAMWAGA SUMU NIMEHOJI TU NIPO HURU KAKA.

    ReplyDelete
  3. naweza nikamsema kwa upande mmoja na kwa upande mwingine ...inataka moyo...Mimi raia wa USa lakini siwezi kujaribu kuvaa sijui bedera wala nini...tena mbele ya wabongo watanimeza. Kwa hiyo huwezi jua na yeyey community yake niaje. Ingawaje ni raia lakini wadosi wenzake watamsema. Ni jadi zetu ...Kwa hiyo hamna la kumshangaa hapa

    ReplyDelete
  4. kwani kutovaa rangi inayoonyesha bendera ya nchi ni kutokuwa mzalendo, na nani kakwambia kuvaa hivyo ni lazima? Huu uzalendo wetu unazidi mipaka.
    Ndaki you are an airhead,dude.all ya comments are shyte

    ReplyDelete
  5. Michuzi umepiga hii picha makusudi ili waosha vinywa waendelee,Dewji kwa nini hana kitu chochote chenye kusema Tanzania?Hana uchungu na inji yetu?Blog zote,picha zote kila mtu iwe kibendera kidogo tu,Kofia au T/shirt inaonyesha TZ except huyu dewji.Waosha vinywa mashambuliziiiiiiiiiiiiii?

    ReplyDelete
  6. Hao waliopo nyuma ya kina Dewji nao ni wahindi mbona hawajavaa jezi za taifa.Uzalendo wa mtu haupimwi kwa bendera bali mtu anavyoipenda nchi yake.Wako wanaotembea na bendera na bado wanaiibia nchi hii kila siku.Magari yao yana bendera na kila wanapotembea wanadai wao ni wazalendo lakini ni wezi.Azim Dewji alishawahi kutoa pesa yake kwenye kampeni ya Stars ishinde wewe na uzalendo wako umechangia nini???Tuacheni majungu.

    ReplyDelete
  7. yaani mijitu mingine imejaa akili za kishenzi tuu na kibaguzi na haina tofauti na yale maku klux klan ya hapa marekani tofauti yenyewe yapo bongo yanakula vumbi...eti bendera? sio mzalendo,man you're just garbage na inabidi ubadilike na mijitu kama hii ni elimu duni na haijatembea ndio maana iko hivyo

    ReplyDelete
  8. We Ndaki na Majita itabidi niwatafute mpaka niwapate nataka nipime hizo akili zenu na kujua uraia wenu. Nyie sio watanzania, mmetumwa kutuvuruga nini? Hii tabia ya unafiki mmeitoa wapi makabila yenu ni yapi? Mna matatizo! kazi yenu kutafuta cha kumbagua mtu.

    Nyie mna uzalendo gani? Acheni uzandiki! midebwedo nyie!Wacheni kila mtu awe free msichungechunguze wenzenu! Mna ndizi!

    ReplyDelete
  9. HATUWEZI KUTETEA UPUUZI DEWJI ANALO LA KUJIBU!

    ReplyDelete
  10. Siku hizi yeye ni nani tena kwenye Michezo huyu Dewji???
    Maana mmh! Amepooza toka nduguye Gulamali alipoaga dunia. Ufadhili wa mipira kwisha nk.

    ReplyDelete
  11. jamani labda hakujisikia kwani lazima?ebo watu msipende kulazimisha vitu visivyowezekana!

    ReplyDelete
  12. MATOKEO YA UCHUNGUZI:
    NDAKI:ni raia wa TZ lakini asili yake ni Congo-kisangani ndo maana kiswahili chake kibovu bovu na alikuja bongo akiwa na umri wa miaka 10.
    MAJITA: ni mjaluo wa Kenya na yeye sio raia kabisa wa bongo ila amejichanganya tuu.
    HITIMISHO:wabongo wengi tumechanganyika hivyo sioni wanaopiga kelele za ushindi wa Richa wana nia gani,ilobaki tumuombee kila la kheri apaform vizuri huko China.
    Mungu ibariki Tanzania.
    CHA CHANDU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...