Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Nasubiri waosha vinywa nichekele!

    ReplyDelete
  2. Ei??? Maelezo tasavali.

    ReplyDelete
  3. MAMA MIAAAAAAAAAAAAAAAAAA, UWIIIIIII

    ReplyDelete
  4. kudadeki!!!Mbona nina hamu ya kusikia ninini kinaendelea hapa?mh ehee bwana si mchezo kuna mijitu ni balaa!!Mara nyingine najiuliza hivi maisha kwani yangekuaje kama kusingekuwa na hichi kitu pesa?maana ni mtego ni mtego wa wengi!!

    ReplyDelete
  5. Eeh bwana eh, acha uchokozi!

    ReplyDelete
  6. hii ilikuwa mexico,mambo ya unga

    ReplyDelete
  7. Nataka kujua tu, hapo ni Bank au nyumbani kwa mtu?Wasouth America nuksi.

    ReplyDelete
  8. DU.MICHUZI MBONA UNAWAONYESHA WATU PESA ZANGU,LAKINI POA HAMNA NONA NASHUKA NZO BONGO HIZO WATU WAJIPANGE TU.

    JACK PEMBA

    ReplyDelete
  9. HIZO NI SEHEMU TU YA DOLLAR ZA UKWELI ZILIZOKAMATWA COLUMBIA. WATU WA MIZIGO HAO BWANA.

    ReplyDelete
  10. DUH!..........!!! DAMN! SABUNI YA ROHO. CHELSKI HAINGII HAPOOOOO

    ReplyDelete
  11. UNASHANGAA?!!!!

    " hao jamaa walokaa kitandani wameshinda LOTTERY, hapo wanatafakari jinsi ya kuzitumia, na hao pembeni ni mabodyguard wao, si unaona na silaha zao tayari tayari?Halafu kabatini kuna dolari nyingine kufuatia mauzo ya madini baada ya mgodi wao kutema!!!"

    Hapendwi Mtu.

    ReplyDelete
  12. izo dolari fweki Bw. Michuzi

    ReplyDelete
  13. he michu kulikoni vipi tena hawa dili lime bounce pole yao.

    ReplyDelete
  14. mimi napenda michuzi sana,nimekosa usingizi after looking atthis.Narcotics inalipa..inalipa,but the RISK.Wamechomeana.Marehemu Amina Chifupa angekuwa hai, angechanganyikiwa.By the way,mme wake wa zamani anaendeleaje.amemrudia mke aliyemtelekeza?

    ReplyDelete
  15. Mmm!!! sasa hilo ndo ghala la $$$ (dolaz) ama vipi?hehe!! kama ghala itakua ndo wametoka kuvuna...

    ReplyDelete
  16. Hivi Bro Michu hii link wadau wanaijua? kama uko bongo vile!!!

    http://www.bongoradio.com/mediaplayer.html

    ReplyDelete
  17. Hawa jamaa kama sikosei ni Wachikano (Mexico) wauza unga, jamaa mwenyewe ni raia wa Mexico mwenye asili ya KiChina ambaye ni muuza unga wa nguvu. Noti zote zilikamatwa kwenye ghala lake, inaelekea kuna jamaa walimchomea utambi. Jamaa mwenyewe anatakiwa hapa Marekani kujibu mashitaka ya uuzaji unga, make alikuwa kwenye list ya wahalifu waliokubuhu watafutwao na serikali ya hapa.

    ReplyDelete
  18. zilipojaa kabati tu wangeacha laana baada ya kujaza na kitandani sasa

    ReplyDelete
  19. Kaka kweli wewe kiboko na haya umeyapata wapi hata hivyo tunakupongeza kwa kuwa mdadisi mzuri wa nchi yetu ya Tanzania. Unaitaji pongezi sana kwa kweli.

    ReplyDelete
  20. KATIKA HOSPTALI YA VICHAA UKITAKA KUWAJARIBU KAMA WAMEPONA AU WAMEPATA NAFUU UNAFANYA HIVI KUBANDIKA PICHA THEN UNASIKILIZIA.

    ReplyDelete
  21. michuzi tafadhali bwana... hizi fwezaa au makaratasi? hizi nakataa siyo za ukweli hizi.
    hata hiyo benki ya dunia yenyewe haiwezi kuwa na manoti hayo.
    khataaari!

    ReplyDelete
  22. BABU SEYA NA WANAWE WASAMEHEWE KESI YAO WALIOBAMBIKIZWA.FREE BABU SEYA NA WANAWE.LAZMA UANZISHWE MJADALA HUU NI UONEVU FIKIRIA KAMA INAKUTOKEZEA WEWE KUFUNGWA BILA YA HATIA

    ReplyDelete
  23. Authorities say it's the largest drug money haul in history and reflects a vast global trade. Gang said to supply U.S.
    By Hector Tobar and Carlos Martinez, Times Staff Writers
    March 17, 2007
    MEXICO CITY -- Authorities confiscated more than $200 million in U.S. currency from methamphetamine producers in one of this city's ritziest neighborhoods, they said Friday, calling it the largest drug cash seizure in history.

    The seizure reflected the vast scope of an illegal drug trade linking Asia, Mexico and the United States, officials said. Two of the seven people arrested Thursday at a faux Mediterranean villa in the Lomas de Chapultepec neighborhood were Chinese nationals.

    The group was part of a larger drug-trafficking organization that imports "precursor chemicals" from companies in India and China for processing into methamphetamine in Mexican "super labs," authorities said. The methamphetamine is eventually sold in the United States.

    The raid resulted from an investigation that began in December, when authorities seized 19 tons of pseudoephedrine, a cold medicine that is a key ingredient in the production of methamphetamine, at a Mexican port on the Pacific Coast.

    A legally registered Mexican company, listed by a trade association as the country's third-largest importer of pseudoephedrine, was implicated, officials said.

    Mexican drug-trafficking organizations have become increasingly important in the U.S. methamphetamine trade, because the U.S. has imposed tougher controls on the sale of the chemicals used to produce the highly addictive drug.

    President Felipe Calderon hailed the seizure as a major development in his government's war on drug traffickers, who have ravaged several Mexican cities and towns.

    "We are working in a decisive manner to save our country and to keep Mexico safe and clean," Calderon told an audience in Tijuana. "I don't even want to imagine how many young people this gang poisoned with its drugs. But I can assure you, they will do it no longer."

    Mexican officials said the cash seized was mostly in U.S. $100 bills and weighed at least 4,500 pounds.

    "Kudos for the Mexicans," said Donald C. Semesky, financial operations chief for the U.S. Drug Enforcement Administration. "They're very serious in this effort, and we commend them."

    U.S. officials said that, if confirmed, the cash seizure would be several times larger than any other made from drug traffickers. A spokesman for the Mexican attorney general's office said that experts were still analyzing the $205.6 million in cash to check for counterfeits but that the bills appeared to be legitimate.

    Officials with the attorney general's organized crime unit used a moving truck, guarded by a 25 patrol-car caravan, to take the money to its headquarters.

    Authorities said the traffickers were led by a naturalized Mexican citizen of Chinese descent who appeared to have left the country.

    Several machines for manufacturing pills were found at the site, but the group did not produce drugs there. The mansion appeared to serve as a financial operations center and cash storage facility.

    Exclusive neighborhood

    The neighborhood is home to some of the capital's wealthiest residents and many members of the diplomatic corps. The back of the property is contiguous with a racquetball court at the Ukrainian ambassador's residence. The Israeli Embassy is a few blocks away.

    Most neighbors and the many maids and security guards who work in the area declined to comment on the raid. The few who did said they had no knowledge of illicit activity.

    "The problem is that all of these houses are veritable fortresses," said one of the neighborhood's security guards, who asked not to be named. "You never know what goes on inside. The doors open automatically. The owners all have chauffeurs. People go in and out, and you never see anything."

    A driver-bodyguard arrested at the house had told neighbors he was a retired lieutenant colonel in the Mexican army. Neighbors said he walked a German shepherd along the tree-lined streets.

    Authorities said the chain of events that brought police to the mansion began in December, when they discovered a shipping container filled with barrels of pseudoephedrine on a storage lot at customs offices in Lazaro Cardenas, a port city about 175 miles northwest of Acapulco.

    ReplyDelete
  24. michuzi ngoja niwasaidie wadau hambao hawajui juu ya peso hizi hapao ni mji mmoja huko mexico story zaidi baadae

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...