WANAMUZIKI WA KONGO KOFFI OLOMIDE NA FELIX WAZEKWA INASEMEKANA WAMEPIGWA STOP KUPIGA MUZIKI NCHINI HUMO. KWA MUJIBU WA BBC HII ILITOKANA NA WAZEKWA KUMPIGA VIBAYA SANA MWANAMUZIKI WA KOFII AMBAPO WANAMUZIKI WAKE WAKARIVENJI NA KULETA GHASIA KIBAO KINSHASA. HIVYO WOTE WAMEPIGWA MARUFUJU KUPIGA MUZIKI AMA KUONEKANA MAGAZETINI NA KWNEYE TV AMA KUSIKIKA KWENYE REDIO KWA MUDA WA MIEZI SITA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Wazekwa ndio mwalimu wa Koffi Olomide, inasemekana hata sauti ya Koffi aliifanya ili ifanane na Felix Wazekwa wakati huo akitamba, Wazekwa ni lazima akubali wakati wake umepita na sasa yuko kwa ajili ya jina tuu Mopao Mokonzi Koffi Charles Ollomide, Babaa Stephan yuko Jhuuuu!!

    ReplyDelete
  2. sio breaking nyuzi,haina maana yeyote. Hawa ni wahuni tu wamepigana sasa sie tujue ye nini? Wahuni kibao wanapigana Kariakoo mbona huleti kama breaking news?

    ReplyDelete
  3. Aargh kwani wanamuziki wa DRC wana maana basi?? Huwa wanapigana tena kwa vitu vya kipuuzi puuzi kama vile mwanamuziki akihamia kwa mwengine. Yaani ni wapuuzi tu, waulize wakongomani waliopiga shule watakwambia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...