Home
Unlabelled
ghana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wWamshukuru BWM(Mkapa) kwa kujinga jiwanja hilo na mkumbuke kuwa "theres nobody whos perfect",mwacheni mzee Ben apumzike amewaachia kitu cha kujivunia na tena hakuweka noma eti mliite jina lake kawaachia nyie mtajua mfanyaje.
ReplyDeleteCHA CHANDU
Hajatujengea ni hela zetu na kama kuna alizoiba pia ni zetu tuna halali yetu kuulizia.
ReplyDeleteKiwanja kajenga katoa hela yake mfukoni, we cha chandu vipi. Nkapa Nduguyo. Kujenga uwanja au kuleta maendeleo ni wajibu wa serikali yoyote inayotoza kodi na kupata misaada ya maendeleo. Mpaka sasa Tanzania ilitakiwa tuwe na kama ishirini kama hivyo mikoa yote ya Tanzania Bara ilitakiwa kuwa viwanja kama hivyo. haya hebu tuwaulize hivyo viwanja kumi na tisa wamevipeleka wapi. hatutamwacha apumzike mpaka ajibu.
ReplyDeleteAnony hapo juu: Kwenye suala la kutotii sheria hakuna mswalie mtume. Ujenzi wa uwanja ilikuwa mojawapo ya majukumu yake kama kiongozi wa nchi - haikuwa fadhila. Kwa hiyo kama Ben alimess up somewhere lazima apambane na mkono wa sheria! Hata hao walio magerezani kuna mema nao waliifanyia nchi hii lakini kuna mahali waliteleza. Acha sheria ichukue mkondo wake!
ReplyDeleteAaagh,basi bwana.Uwanja kajenga Mwinyi.Aaaah! nimesahau kajenga Mh.Kikwete.Watanzania bwana yani hata suala la uwanja kuwa kajenga mkapa pia tujadili??????? huu ni upupu kabsa.
ReplyDeleteMajita
Mi nawaangalia tu mwapiga keleleee, oooh uwanja kajenga sijui nani, mara nani kwa pesa gani sijui. Mwenyewe nimetuliaaaa, kama sipo vile.
ReplyDeleteSasa navunja ukimya, uwanja nilijenga mimi kwa pesa yangu, nani anabisha!
FOGO!
hao jamaa wametoka segerea jela au segerea mji? Ila inatia moyo kwa jinsi ay ushangiliaji wa timu yetu ya national....ni hali ya maisha ya walalahoi tu ndio bado duni
ReplyDeleteMAJIBIZANO KATIKA BLOG HII SIYATOFAUTISHI NA YALE TULIYOKUWA TUNAFANYA WAKATI NIPO MIREMBE KWENYE HOSPITALI YETU YA VICHAA. WASIWASI WANGU MKUBWA DAKTARI WETU MKUU AKIONA MAJIBIZANO HAYA ATAJUA KUMBE KUNA WAGONJWA WENGI ZAIDI WANAHITAJI HUDUMA ZA HOSPITALI YA MIREMBE
ReplyDeleteNAPENDEKEZA HUDUMA ZA HOSPITALI ILE ZIPANULIWE ILIZIWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.