mdau habari njema zenyewe ni kwamba sasa unaweza kusikiliza redio tanzania dar es salaam na radio mlimani fm ukienda www.tztimes.com
Home
Unlabelled
habari njema
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mboni sisikii chochote?au mpaka nilipe $3?
ReplyDeleteWaache waendelee hawa wasitutishe sie...Kila siku majambazi yanakuja kwetu kutoka kwao na mabunduki halafu wanataka muungano..uchumi wao uko show down now they need us...
ReplyDeleteRead the whole story here EAST AFRICA: Uganda, Kenya Plot Against Tanzania
Kwanza wanataka kujoin halafu raisi wajichague wawe wao kutoka Kenya au Uganda katika iwe yao ...10 yrs...ouch...
kaka michu nasikia wewe ndio mkurugenzi wa tztimes.com, hongera sana kaka kwa achievement hiyo kama ni kweli.
ReplyDeletehatusikii chochote hapa wala hata hiyo link ya RTD hatuioni!
ReplyDeleteMichu fahamisha vizuri na kama inahitajika malipo mseme!
nilichoambulia mimi ni sh!!!!!!!!! mpaka asubuhi!