waziri mkuu mh. el akikagua wodi ya wazazi ya hospitali mpya ya wilaya ya hai inayojengwa kwa pamoja na serikali kuu, halmashauri ya wilaya hiyo na wanachi. shoto ni mkuu wa mkoa wa kilimanjaro mh. mohammed babu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Namuona kiongozi mahiri, hodari na shujaa. lol!

    ReplyDelete
  2. Ni haki yao kujenga hiyo hospitali tena nzuri zaidi ya hiyo. Tunalipa kodi sana jamani kha!

    Pongezi kwa wasimamizi wamekula kidogo lakini hospitali imejengwa hata kama kwa miaka kumi.

    Maana huwazi kuzuia mdomo kula wakati kila siku unataka kwenda haja kubwa

    ReplyDelete
  3. Huyu jamaa hataki mchezo, kaanza na shule hii hosptali kazindua basi tu! kwani mikakati yake haswaa ni kule vijijini kwa bibi, anataka kila kijiji kiwe na zahanati. Hiyo ititakuwa poa au siyo wadau? ASKOFU KG.

    ReplyDelete
  4. michuzi nisamehe kwa kutoka nje ya mada,hivi wadau mna habari kwamba yule binti Richa miss Tanzania 2007 ni mkristo dhehebu la roman catholic?

    ReplyDelete
  5. Mungu amjalie afya njema, angalau anajitahidi kufika vijijini na kutatua matatizo ya wananchi..

    ReplyDelete
  6. Annon wa 4:14,Kama Richa ni mkristo,SO WHAT???mijitu mingine bwana imejaa ubaguzii ndo maana hata haina maendeleo.

    ReplyDelete
  7. we anon wa 4:14 pm, nyamb#$u, unaleta mambo ya udini hapa!inasaidia nini kujua kuwa miss tz 2007 ni mkatoliki!baada ya ubaguzi wa rangi unataka kuleta ubaguzi wa dini sio?fikiri kila unalotaka kuliandika, haisaidii kujua miss tz ni dini gani, au kwa kuwa mkatoliki ndio atakuwa miss world 2007?mfyuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  8. OYA WADAU HUYO WAZIRI MKUU ASIANGALIE HUKO KASKAZINI TU ANGAALIE NA KUSINI PIA.WATU WANAMOYO PIA WA KUJITOLEA ILA SERIKALI INASAHAU SANA.

    ReplyDelete
  9. ACHA USHAMBA WEWE,SASA AKIWA MKATOLIKI NDIO PADRE AU PAPA?

    WE BADALA YA KUJADILI MAMBO YA MSINGI UMEKALIA RICHAAAAAAAAA RICHAAAAA SISI TUMEONA HADI RICHMOND UNATUPIGIA KELELE ZA RICHA LEO.

    HUJUI TUNA MAMBO YA MSINGI YA KUJADILI.

    JIFUNZE DOGO

    ReplyDelete
  10. Yes, Mohammed Babu mmojawapo wa Wakuu Wa Mikoa Waandamizi hapa nchini. Namkumbuka kuanzia 1975 akiwa RDD Mkoa wa Mara, huyu bwana alikuwa anaweza kujua bonde, chanzo cha mto na vitu vingine vya umuhimu mkoani. Alikuwa bado kijana wakati huo na alikuwa makini sana kwa kazi yake. No wonder he has survived in government service for so long, lakini muda wote amefanya kazi katika mikoa hiyo ya kaskazini tu. Mtu wa aina hii wangemhitaji sana mikoa ya kusini ambayo imekuwa nyuma kimaendeleo.

    ReplyDelete
  11. Wahindi wengi ambao ni Roman Catholic wana asili ya Goa, sehemu ya India iliyotawaliwa na Wareno.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...