Home
Unlabelled
keki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa hizi keki atakula nani sababu Mr.Wilkinson haji tena bongo. lo zitadoda hizi keki!
ReplyDeleteKaka Michuzi jana nimekuona live pale Jengo la Kitegauchumi!! Nilikuwa sijawahi kukuona live,nilifarijika.
ReplyDeleteMdau
Asante kwa picha.
ReplyDeleteNaomba sana ombi lakungu ulizingatie. Naomba picha za harusi ya Father Kidevu au Mroki mwenye ile blog. nasikia kaoa jumamosi.
SAWA! ILA TUJITAHIDI KUACHANA NA KUIGA UZUNGU, Ni vyema kubuni na kuendeleza uasilia wetu, Tukizembea hawa jamaa watatulisha vyura na konokono.
ReplyDeleteIla ni nzuri kwa kuitazama... Siwezi kula hiyo kitu.(askofu KG)
Too much sugar where is our ndafu? atleast we get some proteins there...here nooo too much sugar my dear ....
ReplyDeleteBetter keep our culture
Have Your Cake and Eat It Too.
ReplyDeleteIt looks gorgeous and all that but too sugary to eat. I hope is mostly made of dumb cakes
hahahaaaaaa, nyakyusa wewe ni mchokozi sana
ReplyDeleteBongo keki inapendeza kwa macho lakini ladha mbaya au iko kama ugali.
ReplyDeleteHe he he he, Nyakyusa mbavu zangu tafadhali lol!
ReplyDeleteUnataka leta mzozo hapa ohooo!
Naona bongo mambo si haba. Hivyo tujapo xmas holiday hakuna kubeba mi-keki toka majuu kuleta nyumbani. LOL
ReplyDeleteAnon 14 Sep, 09:36 PM, Wewe nawe ndo wale wale akina Mrs Fulani, umeya tu, lini mlibebana na keki toka majuu. Ulimbukeni tu mwangalie, kwani ulipoondoka bongo watu walikuwa hawajua tengeneza keki/ Si dhiki zako tu hukuwa na uwezo wa kuzinunua, sasa hivi, nyoo, hatubebi. Tena wewe kenge wewe, una bahati sikufahamu.
ReplyDeleteMtumwa mpaka wa fikira wewe, lione kwanza.