Home
Unlabelled
hai
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Namuona kiongozi mahiri, hodari na shujaa. lol!
ReplyDeleteNi haki yao kujenga hiyo hospitali tena nzuri zaidi ya hiyo. Tunalipa kodi sana jamani kha!
ReplyDeletePongezi kwa wasimamizi wamekula kidogo lakini hospitali imejengwa hata kama kwa miaka kumi.
Maana huwazi kuzuia mdomo kula wakati kila siku unataka kwenda haja kubwa
Huyu jamaa hataki mchezo, kaanza na shule hii hosptali kazindua basi tu! kwani mikakati yake haswaa ni kule vijijini kwa bibi, anataka kila kijiji kiwe na zahanati. Hiyo ititakuwa poa au siyo wadau? ASKOFU KG.
ReplyDeletemichuzi nisamehe kwa kutoka nje ya mada,hivi wadau mna habari kwamba yule binti Richa miss Tanzania 2007 ni mkristo dhehebu la roman catholic?
ReplyDeleteMungu amjalie afya njema, angalau anajitahidi kufika vijijini na kutatua matatizo ya wananchi..
ReplyDeleteAnnon wa 4:14,Kama Richa ni mkristo,SO WHAT???mijitu mingine bwana imejaa ubaguzii ndo maana hata haina maendeleo.
ReplyDeletewe anon wa 4:14 pm, nyamb#$u, unaleta mambo ya udini hapa!inasaidia nini kujua kuwa miss tz 2007 ni mkatoliki!baada ya ubaguzi wa rangi unataka kuleta ubaguzi wa dini sio?fikiri kila unalotaka kuliandika, haisaidii kujua miss tz ni dini gani, au kwa kuwa mkatoliki ndio atakuwa miss world 2007?mfyuuuuuuuuuu
ReplyDeleteOYA WADAU HUYO WAZIRI MKUU ASIANGALIE HUKO KASKAZINI TU ANGAALIE NA KUSINI PIA.WATU WANAMOYO PIA WA KUJITOLEA ILA SERIKALI INASAHAU SANA.
ReplyDeleteACHA USHAMBA WEWE,SASA AKIWA MKATOLIKI NDIO PADRE AU PAPA?
ReplyDeleteWE BADALA YA KUJADILI MAMBO YA MSINGI UMEKALIA RICHAAAAAAAAA RICHAAAAA SISI TUMEONA HADI RICHMOND UNATUPIGIA KELELE ZA RICHA LEO.
HUJUI TUNA MAMBO YA MSINGI YA KUJADILI.
JIFUNZE DOGO
Yes, Mohammed Babu mmojawapo wa Wakuu Wa Mikoa Waandamizi hapa nchini. Namkumbuka kuanzia 1975 akiwa RDD Mkoa wa Mara, huyu bwana alikuwa anaweza kujua bonde, chanzo cha mto na vitu vingine vya umuhimu mkoani. Alikuwa bado kijana wakati huo na alikuwa makini sana kwa kazi yake. No wonder he has survived in government service for so long, lakini muda wote amefanya kazi katika mikoa hiyo ya kaskazini tu. Mtu wa aina hii wangemhitaji sana mikoa ya kusini ambayo imekuwa nyuma kimaendeleo.
ReplyDeleteWahindi wengi ambao ni Roman Catholic wana asili ya Goa, sehemu ya India iliyotawaliwa na Wareno.
ReplyDelete