uzuri wa bongo ni kwamba utamaduni wa kuheshimu wakubwa ni wa hali ya juu hata kama kuna upinzani baina yenu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. wabongo bwana ndio maana najivunia ubongo wangu raha sana kuna watu kama majirani zetu wanatutamania sana ubongo wetu ndio maana wanataka kuharibu amani ya wabongo

    ReplyDelete
  2. MREMA VIPI TENA! UNATAKA KURUDI CHICHI EM ?

    ReplyDelete
  3. ASANTE SANA BABA KIKWETE,HAYA NDIO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA MAAANA YAKE MASKINI ATAENDELEA KUWA MASKINI NA TAJIRI ATAENDELEA KUWA TAJIRI!!!!!!

    ReplyDelete
  4. mzee wa kiraracha huyo,kachoka ile mbaya,bora ajirudie zake ccm tu.

    ReplyDelete
  5. BONYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  6. Wahenga Walisema, "NYUMBANI NI NYUMBANI"!!! Naona hapo Mzee wa "NJI" a.k.a Mzee wa Kiraracha, anaanza kujijengea Mazingira ya kutaka kurudi Nyumbani!! Maana anavyomsujudia hapo Muheshimiwa Sana ... BOOOONYEEEEEEE, indeed!!

    ReplyDelete
  7. Michuzi, Kikwete ni mtumishi wetu, siyo mheshimiwa. Huu ustaarabu wa kuitanana waheshimiwa ndio unaopelekea tushindwe kuwashitaki wakiwa na wakitoka madarakani. Mrema hapo kachemka,tumempa kikwete kura hatutumikie siyo tumwabudu.

    ReplyDelete
  8. michuzi unachemka, Kikwete siyo muhesimiwa ila yeye ni mtumishi wetu. tumempa kura atutumikie. Na mzee wa kiraracha anachemka, huyo siyo mfalme wa kumsujudia.

    ReplyDelete
  9. MHESHIMIWA MREMA TUNAFAHAMU FIKA KWAMBA UNAHESHIMU KILA BINAADAMU BILA KUJALI, CHEO, UMRI, KABILA, UTAJIRI/UMASKINI AU JINSIA UNAME IT, LAKINI TOO MACH OF ANYTHING IS HAMFULL.

    ReplyDelete
  10. Depression imechukua mkondo wake mhurumieni tuu hata hajitambui kama anasujudia na kama ndio basi hajui kama anachemsha...amekwisha mzee huyu maskini halafu anaonekana mgonjwa sana anachechemea tuu.

    ReplyDelete
  11. jamani mrema kawa KISS ASS kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...