piga ua lakini kochi lazima lifike nyumbani. hapa ni lubumbashi ambako mdau katembelea majuzi. ukiangalia sana utakuta nchi nyingi zinafanana kimazingira (au kimazingara, wadau nisaidieni) kwani hapa ukiambia ni tabora ama kigoma hutokataa. sema namba ya gari ndo noma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ndio bwana Michuzi nitakataa kwasababu hii:

    Sisi tunaendesha upande wa kushoto wakati Congo wanaendesha upande wa kulia.

    ReplyDelete
  2. Pembeni kunaonekana hoi, lakini mkeka wa barabarani umetulia!

    ReplyDelete
  3. ni kimazingira (mazingara ni mambo ya kichawichawi)...ni kweli utadhani bombambili

    ReplyDelete
  4. Usalama upo kweli kwa watu? Hilo gari si la mizigo linaweza kuleta madhara makubwa.

    ReplyDelete
  5. Nchi zinazofanana unamaanisha za third world tu- right?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...