jamaa ndo keshaiegesha injini kiuno yake na kuingia wanja la emirates kuangalia mechi ya arsenal leo. watasha bwana....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. ina maana watasha wana tabia ya kuiba baiskeli?

    ReplyDelete
  2. Ingiekuwa ipo hapa marekani fremu tu ndiyo angeikuta,watu wanakula matairi kama hawana akili

    ReplyDelete
  3. Aliokwambia kuwa huyo ni mtasha nani?Piga ua huyo ni Mbongo kakosa paki

    ReplyDelete
  4. huyo definately mtasha hawezi kuwa mbongo ataambiwa wenzako wanaendesha magari wewe una kibaiskeli.lol wabongo bwana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...