Home
Unlabelled
malipo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ehee kweli ela ya zimbabwe imeshuka thamani yani bulungutu lote hilo ni ela ya lunch je ukitaka kununua kitu cha bei kubwa si inabidi ujaze ela kwenye karandinga.
ReplyDelete....ndiko tanzania inakoelekea huko,baada ya miaka mitano kutoka sasa.
ReplyDeleteit cant be posible! is it a joke or?
ReplyDeleteduh mwanawane kama unaenda showroom ya magari inabidi ukodi pickup ya kubeba pesa....manake kama hiyo ni kwa ajili ya malipo ya lunch...then malipo makubwa si itakuwa kasheshe
Mtume! Yaani pesa ndio imeshuka thamani hivyo? Nahisi na ya bongo inaelekea huko tusipokuw amakini kurekebish auchumi wetu.
ReplyDeleteDinah.
Kuna jamaa alikua anamuita Mugabe his hero, sasa aone hii picha, huko Zimbabwe sasa hata kupata mkate lazima uamke saa 12 za asubuhi na ukae kwenye foleni, supermarket hakuna kitu chochote kinachopatikana.
ReplyDeleteMugabe anajua kaisha lakini hawezi kusema kashindwa kama unavyojua waafrika
.........TZ inafika huko sasa hivi hiyo miaka mitano mbona mbali. Jamani huku kanda ya Ziwa mfuko wa cement umeshavuka 20,000 mwaka jana ulikuwa 13,000 bei imepanda zaidi ya 50% in 1 year. Tusiwacheke Zimbabwe waswahili walisema ukiona mwenzio anyolewa ............
ReplyDelete....mtumeeeee!!hii mbona kiboko kupita zote ambazo nimekumbana nazo gah.......damn!!!!!!!!??watu lazima wanatembea na mabegi,sababu mifuko ya suruali haitoshi mpaka huyo mzungu pembeni anacheka,kuhesabu hizo hela tu kasheshe.
ReplyDeleteoh my this is some kind of a serious joke wht! yani pesa ya lunch utadhani anaenda kulipa mshahara wafanyakazi duh zimbabwe naona ibinafsishwe na UN wamtenge mugabe coz the things he does to his people is horrible no human being deserves it and no one can rebel so people are not able to speak out alikuwa mali asili ya zimbabwe sasa hivi ni makaburi watu wanakufa kila siku coz of malnutrition ukiona utalia mkate kuupata u have to que for six hours na vile vile unaweza usiupate.inatisha
ReplyDeleteheeee!!!! makubwaa... sasa naona huko wallet ni sanduku.
ReplyDeleteHalafu ka. Michu ile picha ya wadau wa DC, yenye warembo tehe tehe umeitoa ama macho yangu?
Kama ndio umefanya jambo la mbolea
BADO DUNIA INAONGOZWA NA WEUPE, TUKO NYUMA KUPITA KIASI NA HATA HATUJUI KWASABABU BORA MKONO UENDE KINYWANI
ReplyDeletemugabe quit
ReplyDeletejamani tusicheke wakunga na uzazi ungalipo.hpe bongoland haita fika huko.msituogopeshe jamani uburudani bongon hatuioni kwenye kideo na kama sio mjomba CHUZZI ingekuwa kazi.Thanks chuzz go on....
ReplyDelete