spika wa bunge la jamhuri mh. samwel sitta (kulia) akiongoza mapokezi ya mh. profesa athumani kapuya. wengine ni waziri wa afya profesa david mwakyusa (wa pili kulia) , naibu waziri wa ulinzi, mkuu wa majeshi ya ulinzi jenerali davies mwamunyange (shoto) akiwa na mkurugenzi wa logistiki jeshini brigedia jenerali rioba, mkuu wa mkoa wa dar mh. abbas kandoro, mbunge wa igunga mh. rostam aziz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. ili kuindeleza vyema blogu yako inabidi kurekebisha uandishi wa taarifa zako hasa punguzo kutumia lugha za mitaani au vijiweni kama breaking nuzzzzzzz n.k pia andika kwa kufuata kanuni bora za uandishi wa habari mfano: majina yasikosewe alphabeti zake,tumia herufi kubwa mwanzo mwa jina..andika kwa vituo.Tumia lugha yenye mvuto..ahsante kwa kurekebisha jina la mheshimiwa

    ReplyDelete
  2. Jamani mbona hivyo? Inakuwa kama vile mtu kafa? Angalia body language hapo!

    Sasa mapokezi ya nini uwanjani badala ya kwenda kusubiri sipitali?

    Kupoteza muda wa kufanya kazi huo!

    ReplyDelete
  3. Kwanini hakufa maanaa wamezidi kula rushwaaaaaaaaaaaaaaa... Akalipe madhambi yake mapema

    ReplyDelete
  4. We Dinah acha hizo.
    Body language ndo inakuwa hivyo kwa wanaosubiri maiti??Hivi watu wanaosubiri hela zao walizotapeliwa na wanahisi atakuwa kwenye ndege fulani inayotua muda huo wanakuwaje?Ndo hao sasa.
    Dina hivi umeolewa??

    ReplyDelete
  5. Jamani watanzania, viongozi wetu hawa!!!kwa kweli tunahitaji mabadiliko makubwa,haya mambo ya kupendeleana wao kwa wao hayafai tena,tumewachoka kabisa.Bora wapumzike wapishe vijana sasa

    ReplyDelete
  6. Anon Dinah hajaolewa kwani hukuona picha zake jamboforum alafu huoni hata kiswahili chake ni cha watafutaji? jaani nawakilisha tu

    ReplyDelete
  7. Tunawatoa kwa kura-mnaziiba,tunatetewa na vijana-mnawafukuzia mbali,kilichobaki ni kuomba dua+kalimanzira,kama hamuoni kuwa mungu ameanza kukasirika,shauri yenu,mikono,vichwa,viuno vitatangulia.
    Michuzi nina zawadi ya blogu kutimiza 2 yrs niitume wapi.
    Tunakupenda wewe na wanaokusaidia kutengeneza na kutafuta habari zote,wewe andika tu hata kwa herufi mchanganyiko ili maradi ujumbe ufike.

    ReplyDelete
  8. Anony juu ya Joti polepole hapo usijifanye unanijua kiaina. Issue hapa ni Kapuya kupokelewa yapoti(airport 4 u) baada ya kupata ajali.

    Hulipi kodi kwa kuwa mstaarabu na kuheshimu wachangiaji sijui ndio mnawaita wadau.

    Asante!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...