Home
Unlabelled
mdauzzzzzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mzee michu,mwaka huu hamuendi kokote.nguvu ya soda tu nyie.
ReplyDeleteAliyechomoa nani???Usinichekeshe ligi ndio kwanza inaanza.Kuifunga Derby sio kuwa bingwa.Kanu kakosa penelti leo ama sivyo tungezungumza mengine.Kwa rotating policy ya kocha wenu hamwendi popote.Kocha mwenye akili habadili timu inayoshinda labda imlazimu kufanya hivyo.Kocha wenu kalalamikiwa lakini bado anadai ataendelea na rotating policy.
ReplyDeleteNaona away jersey yenu nzuri kidogo,mnajitahidi..lakini leo Pompey walikuwa wanatoa nyie basi tuu mna bahati..igeni mfano mzuri wa the Gunners..vijana wazuri sana wale Misoup heheh..wenzako The blues wanatolewa jasho mpaka sasa na Blackburn..Arsenal league yetu sasa hehehe..wkend njema...mdau b/ham
ReplyDeletesalama mdauzzzzzzz ,ile issue ya tvt ilishindikana kabisa mbona hamna taarifa??
ReplyDeletePOLE NA SWAUMU MICHUZI
ReplyDeletelivapul tatizo lenu mnatumia nguvu kuliko maarifa,matokeo yake hata mwaka huu ubingwa hampati.
ReplyDeletewakutumie tu hata jezi mia ila sie aka! wii ilopita 3-1,wiki hii 3-1 na wiki ijayo ndo tuko na derby.. madharaaaaau, ati shisha!!
ReplyDeleteJamani ligi ndio kwanza imeanza maneno kibao. Haya!! Ngoja Decemba na Januari zifike tuone nani ni nain.
ReplyDeletebro michu mimi arsenal damu..nikukuletea jezi yetu utavaa?
ReplyDeleteSubirini X-masi ndio bingwa anajulikana au baada game kama 15 hivi sio kama arsenal na Liverpool mpaka sasa wanafanya vizuri ila Liverpool na arsenal wanauwezo wakuchukuwa, chelsea na Manchester united kama kawa kawaida yao ya ma manager wao kusizema timu za watu baada kulalamikia matatizo yao wenyewe? wivu wao ushaanza mapema liverpoolfc au Arsenal wanachukuwa hasa Arsenal. jana kama liverpool angeweka timu ya ushindi ingeshinda poth si watu wakuzauriwa sioni chelsea wala manchester kufunga arsenal au liverpool na chelsea atamfunga manchester, arsenal to win all the way.
ReplyDeleteNasikia Mecky Maxime amepata deal anakwenda chezea Liverpool jamani, ni kweli?
ReplyDeleteMichuzi nasikia analijua deal hili na ndio kisa jamaa kaomba kujitoa stars. Jamaa kaula UK, duh!
Mwenye habari kamili nijulishe tafadhali.