wadau wa mikocheni wanatoa pongezi kwa globu hii kutimiza miaka 2 na tunajiunga nayo katika siku tano hizi za kusherehekea. Cheers!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Duuh kudadadeki kumbe Mikocheni wana bonge la uwanja

    ReplyDelete
  2. ka kiroba hako brother tunavimiss wenzio uku looh yaani mpaka udenda hako kapombe ni katamu

    ReplyDelete
  3. hee!!! kumbe pozi la "dole" bado lingalipo? mweeee!!

    ReplyDelete
  4. Duh ile picha ya uwanja wamenikumbusha Tico tico!

    De

    ReplyDelete
  5. ehe jamani ka kiroba ako wenzenu uku south africa tunavikosa yani mnatutamanisha kweli.

    ReplyDelete
  6. eee wakiweka wabongo na mipombe hamna anayekumbuka mwezi mtukufu au mnafanyanini na shule mmemaliza? Lakini zikiwekwa picha toka kokote nje ya bongo tu kila mtu....hehe toba mwezi mtukufu...hehhh mmejisahau....Tuache majungu jamani kutesa kote kote ulimwengu huu.

    Utaona comments zote hapo juu ni jinsi wabongo wanavyofurahia kuona wenzao bongo wanatesa na jinsi watu wanavyomiss home lakini kwa wabongo akiona picha kama hiyo ni kinyume na marungu juu...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...